Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Nkamu unapenda kujifanya wa kuja kumbe unatuchora.!! πππ
Tumfuateπ₯π₯π₯Mwanakondoo ameshinda
JajiriPedeshee penseli
Acha alock line za matajiri mchongomaππππ
Nkamu leo mnazungukia majimbo?VumbiiππΏ
Mimi sio tajiri ππNiambie tajiri
Wwe unamwaga vocha lini nije kugombania
Lamo vocha π€Nkamu leo mnazungukia majimbo?
Uzi hujauona huko matajiriii wanazimwaga? πππLamo vocha π€
Mwaga na wewe sie tujizoleeeUzi hujauona huko matajiriii wanazimwaga? πππ
Unanitafuta maneno?? Umetumwa?Mwaga na wewe sie tujizoleee
Ila kutoa ni moyoMimi sio tajiri ππ
HamnaNkamu leo mnazungukia majimbo?
Nikajua nawe mwana kitulano ππHamna
Niliomba tu liftππ
Wamenizoa kijijini huko
Mie kapuku mmoja tuNikajua nawe mwana kitulano ππ
Huna ukapuku wowote sema hupendi show off ππMie kapuku mmoja tu
Nimeomba lift aiseeππππ
Ila Mimi wa Kwa mwakiswelelo Nkamu
Mtoto mzuri wewe ni kifaa ngoja nizame pmHapana sio mimi
Nawe tubless basiiiSmart anakojolea pazuri aiseeππππ
MarahabaaaHongera
Asubuhi flani hivi imeenda poa kwanguπ, shukrani sana mwenyekitiππΌ