Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli tena
Mimi wa vijinini milimani huko
Mjini daslam nimekuja juzi tu
Mambo ya kuvaa kwa kweli sijui hadi sasahivi

Ila angalau Nimepata exposure nimejifunza vitu vingi muhimu
Kiliko hata matajiri uchwara wanaojudai born in town wakati ni makapuku tu hata hela hawazijui
Nkamu unapenda kujifanya wa kuja kumbe unatuchora.!! 😂😂😂
 
Vumbii🙌🏿
 

Attachments

  • IMG_20240812_150716_124.jpg
    IMG_20240812_150716_124.jpg
    2.8 MB · Views: 3
Back
Top Bottom