Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nile nini sasa?😂nimetulia ndani hapa watu wa Hela ya taka & sungu sungu wanagonga mlango nime-mute sitoki
Nikuone bas mshkaji wanguNipo 😀
Kalipe Hela za watu 😀😀Nile nini sasa?😂nimetulia ndani hapa watu wa Hela ya taka & sungu sungu wanagonga mlango nime-mute sitoki
Usitoke ila Sina picha mpya rafikyngNikuone bas mshkaji wangu
Mi hata sielewi hawa wanapatikanaje na hata usiku ukipita huwaoni, hawa hela yao siwalipi shenzi type sana kipindi nipo chuo tulipelekwa kituo Cha police shekilango nikalipa 50k ya fine kisa sijalipa miezi miwiliKalipe Hela za watu 😀😀
Hiv Hao sungusungu wanwekwa na serikali ya Kijiji au mtaa unaweza kuamua kuajiri sungusungu wao
Maana wez wamenichungulia juzi Dah😀
Hata TBT zije tu, Leo nimekuombea ibadaniUsitoke ila Sina picha mpya rafikyng
😀😀Wewe mkorofi kumbeMi hata sielewi hawa wanapatikanaje na hata usiku ukipita huwaoni, hawa hela yao siwalipi shenzi type sana kipindi nipo chuo tulipelekwa kituo Cha police shekilango nikalipa 50k ya fine kisa sijalipa miezi miwili
Ukidakwa utatoa 50k shauri yako, hawa wanaokusanya hela kila baada ya wiki mbili wanakuja wengine😀😀Wewe mkorofi kumbe
Sis hapa tuko wawili mwenzangu Kila wakipita wa taka hayupo nalipia tu na kununua viroba Kila wakat ngoja niwe km wew 😀😀
Kumbe Kuna kupelekwa polis Tena 😀😀Ukidakwa utatoa 50k shauri yako, hawa wanaokusanya hela kila baada ya wiki mbili wanakuja wengine
Kama Kuna sehemu nliwahi kuandika mi ni kataaa ndoa naomba moderator wafute Kuna wadada nlikuwa sijawaona
😂😂😂Aah mbona ghafla katibu wa kataa ndoa wakikuona wenzio watakufukuza kwenye chama 🤣🤣Kama Kuna sehemu nliwahi kuandika mi ni kataaa ndoa naomba moderator wafute Kuna wadada nlikuwa sijawaona
Subir yakukute 😂😂mi nlikuwa siwezi kuonekana labda jumapili mchana tu wakalia timing nlipewa barua ya mtendaji nlienda kusomea police tulisombwa wanachuo hadi thread zilifunguliwa humuKumbe Kuna kupelekwa polis Tena 😀😀
Hatar sana kwakweli sehemu naziogopa ni polis Kuna rafikyngu aliibiwa nikamsindikiza wee nilitetemeka hayo maelezo Sasa 😀😀😀Subir yakukute 😂😂mi nlikuwa siwezi kuonekana labda jumapili mchana tu wakalia timing nlipewa barua ya mtendaji nlienda kusomea police tulisombwa wanachuo hadi thread zilifunguliwa humu
Unafkiri ukikutana na mtoto full package utaacha?😂 unarudisha kadi😂😂😂Aah mbona ghafla katibu wa kataa ndoa wakikuona wenzio watakufukuza kwenye chama 🤣🤣
Hivi wadada wanawekwaga lockup? Sijawahi ona nyie mnahojiwa kidogo tu mnasepa!Hatar sana kwakweli sehemu naziogopa ni polis Kuna rafikyngu aliibiwa nikamsindikiza wee nilitetemeka hayo maelezo Sasa 😀😀😀
😀😀Pole sanaHivi wadada wanawekwaga lockup? Sijawahi ona nyie mnahojiwa kidogo tu mnasepa!
Mwanzon wa mwaka huu nliingia lockup kama masaaa manne😂yaan mpaka natoka nlikuwa siamini kama ni mimi ndo nlikuwa mule.....nlichekwa
Picha linaanza muda hauendi, Kuna ile hofu nsipotoka Leo itakuaje & njaa😀😀Pole sana
Wadada wanawekwa mbona inategemea na kosa
Ulikutana na wabishi wenzio😀
😂😂😂Ungekaa siku mbili ungepungua kilo 7Picha linaanza muda hauendi, Kuna ile hofu nsipotoka Leo itakuaje & njaa
Mpaka kesho kwenye kampan ikizungumziwa mambo ya police lazima tucheke kidogo