Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kalipe Hela za watu 😀😀
Hiv Hao sungusungu wanwekwa na serikali ya Kijiji au mtaa unaweza kuamua kuajiri sungusungu wao
Maana wez wamenichungulia juzi Dah😀
Mi hata sielewi hawa wanapatikanaje na hata usiku ukipita huwaoni, hawa hela yao siwalipi shenzi type sana kipindi nipo chuo tulipelekwa kituo Cha police shekilango nikalipa 50k ya fine kisa sijalipa miezi miwili
 
😀😀Wewe mkorofi kumbe
Sis hapa tuko wawili mwenzangu Kila wakipita wa taka hayupo nalipia tu na kununua viroba Kila wakat ngoja niwe km wew 😀😀
 
Subir yakukute 😂😂mi nlikuwa siwezi kuonekana labda jumapili mchana tu wakalia timing nlipewa barua ya mtendaji nlienda kusomea police tulisombwa wanachuo hadi thread zilifunguliwa humu
Hatar sana kwakweli sehemu naziogopa ni polis Kuna rafikyngu aliibiwa nikamsindikiza wee nilitetemeka hayo maelezo Sasa 😀😀😀
 
Hatar sana kwakweli sehemu naziogopa ni polis Kuna rafikyngu aliibiwa nikamsindikiza wee nilitetemeka hayo maelezo Sasa 😀😀😀
Hivi wadada wanawekwaga lockup? Sijawahi ona nyie mnahojiwa kidogo tu mnasepa!

Mwanzon wa mwaka huu nliingia lockup kama masaaa manne😂yaan mpaka natoka nlikuwa siamini kama ni mimi ndo nlikuwa mule.....nlichekwa
 
Back
Top Bottom