[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo niliamka na mode ya ladha ya mwambao wa pwani.Nimechoka niko hoi jana nimecheza taarabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie nimetamani had kupata mke mwenza nichambane naye [emoji81]
Shangingi kajipata bwana bwana kweli, kachinja mbuzi kwa mkono wake makaburini ili ajiweke mana upinzani ulikuwa mkali..!!Eeeeh ikawajeee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipe ubuyuuu uduguuuu
π treeeenaaahh.!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo niliamka na mode ya ladha ya mwambao wa pwani.
Nkavaa ujora wangu pambee, nikaanzaa weka taarabu za Sabaha Muchacho, zimenikoshajeee.
Nilipoweka ile "Debe Tupu" nilivyochachukaa utadhani nna mke mwenza kweliii.
Hatareeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wadigo na balaa lao mjiniiii, shangingiii katusuaaaaaa.Shangingi kajipata bwana bwana kweli, kachinja mbuzi kwa mkono wake makaburini ili ajiweke mana upinzani ulikuwa mkali..!!
Huyo bwana pesa za kumwaga, bibie kajengewa ghorofa mwanagati.. ila ndoa kaisotea.! Za chini ya carpet mama yake mchawi ndio kayafanya yote hayo.!!
Bibie mdigo wa duga huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
"Umekutwaaa, umeachwaa, umetupwaaa"[emoji108] treeeenaaahh.!!
Em nipe kionjo ya ilo liji-song uduguu weyeeh [emoji81][emoji81][emoji81]
Kumekuchaaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikiweka picha mashoga mabonge nyanya yote yatakuja kujinunisha km wametiwa jiti la nonino [emoji81][emoji81][emoji81]
Ila tulia ntakushtua usikae mbalii
Shangingi kajipata halafu alianza km utani, alikuwa na kigoli chake ghafla kachukua chumba kikubwa, mara anasema nafatilia visa, ohhh kashusha mzigo wa gauni.Wadigo na balaa lao mjiniiii, shangingiii katusuaaaaaa.
Shangingiii katafutaaa, na kapataaaaaaaa, watu weuweeee.
Awe makiniii, asijee jikuta yeye ndo kawa kafaraaa.
Uduguu, nilitakaa kukutwaa na jamboooo, sio mchezooo
Sijui nilichomokajee na siaminii had leo. Hawa wenye hela za kicheleeee kukaa nao kimastaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
π treeeenaahhh.!!"Umekutwaaa, umeachwaa, umetupwaaa"
"Maneno mengi ya nini"
"Km mvuvi wa pweza tutakutana mwakani"
"Debee tupu, wewe, acha zako kelelee"
"Kwa nguvu zake rabuva, sitingishiki mie"
"Mlingoti chuma, pia kamba chumaa, na benderaa chumaa".
hatareeeeee, [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kumekucha na nikipiga la mgambo lazima waitike awwwhh πππKumekuchaaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahaUbwabwa ushakuja kwa meza, halafu wana wameususa.. jiangalie dada kaka utatoswa km mzamia maji baharini..
Huna jipya na linda huna oyoooooo.!!
Lazima unate na beat langu.!
Njoo tupige michano nyamwi akeee ππHahahaha
Mi kiboko ya mabonge yote yaliyokatwa Malinda km slesi πππLamami Kila nkiuona Huwa presha Inapanda....π π π
Ila kibonge maneno Huwa anataka yeye yani ni mshaku naku hatariiiiiiBonge fanya mazoezi acha kujipa stress
Hata ukigawa bure asusa hakuna anayetaka hizo resi
Unajiona mjanja na kumbe shagapensi
Wee endelea kugawa malinda bila vest π€£π€£π€£