cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo niliamka na mode ya ladha ya mwambao wa pwani.Nimechoka niko hoi jana nimecheza taarabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie nimetamani had kupata mke mwenza nichambane naye [emoji81]
Nkavaa ujora wangu pambee, nikaanzaa weka taarabu za Sabaha Muchacho, zimenikoshajeee.
Nilipoweka ile "Debe Tupu" nilivyochachukaa utadhani nna mke mwenza kweliii.
Hatareeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]