Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimechoka niko hoi jana nimecheza taarabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie nimetamani had kupata mke mwenza nichambane naye [emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo niliamka na mode ya ladha ya mwambao wa pwani.
Nkavaa ujora wangu pambee, nikaanzaa weka taarabu za Sabaha Muchacho, zimenikoshajeee.

Nilipoweka ile "Debe Tupu" nilivyochachukaa utadhani nna mke mwenza kweliii.

Hatareeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Eeeeh ikawajeee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipe ubuyuuu uduguuuu
Shangingi kajipata bwana bwana kweli, kachinja mbuzi kwa mkono wake makaburini ili ajiweke mana upinzani ulikuwa mkali..!!

Huyo bwana pesa za kumwaga, bibie kajengewa ghorofa mwanagati.. ila ndoa kaisotea.! Za chini ya carpet mama yake mchawi ndio kayafanya yote hayo.!!
Bibie mdigo wa duga huko 🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo niliamka na mode ya ladha ya mwambao wa pwani.
Nkavaa ujora wangu pambee, nikaanzaa weka taarabu za Sabaha Muchacho, zimenikoshajeee.

Nilipoweka ile "Debe Tupu" nilivyochachukaa utadhani nna mke mwenza kweliii.

Hatareeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
👌 treeeenaaahh.!!
Em nipe kionjo ya ilo liji-song uduguu weyeeh 😹😹😹
 
Shangingi kajipata bwana bwana kweli, kachinja mbuzi kwa mkono wake makaburini ili ajiweke mana upinzani ulikuwa mkali..!!

Huyo bwana pesa za kumwaga, bibie kajengewa ghorofa mwanagati.. ila ndoa kaisotea.! Za chini ya carpet mama yake mchawi ndio kayafanya yote hayo.!!
Bibie mdigo wa duga huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wadigo na balaa lao mjiniiii, shangingiii katusuaaaaaa.
Shangingiii katafutaaa, na kapataaaaaaaa, watu weuweeee.
Awe makiniii, asijee jikuta yeye ndo kawa kafaraaa.

Uduguu, nilitakaa kukutwaa na jamboooo, sio mchezooo
Sijui nilichomokajee na siaminii had leo. Hawa wenye hela za kicheleeee kukaa nao kimastaaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji108] treeeenaaahh.!!
Em nipe kionjo ya ilo liji-song uduguu weyeeh [emoji81][emoji81][emoji81]
"Umekutwaaa, umeachwaa, umetupwaaa"
"Maneno mengi ya nini"

"Km mvuvi wa pweza tutakutana mwakani"

"Debee tupu, wewe, acha zako kelelee"

"Kwa nguvu zake rabuva, sitingishiki mie"
"Mlingoti chuma, pia kamba chumaa, na benderaa chumaa".

hatareeeeee, [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Nikiweka picha mashoga mabonge nyanya yote yatakuja kujinunisha km wametiwa jiti la nonino [emoji81][emoji81][emoji81]

Ila tulia ntakushtua usikae mbalii
Kumekuchaaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wadigo na balaa lao mjiniiii, shangingiii katusuaaaaaa.
Shangingiii katafutaaa, na kapataaaaaaaa, watu weuweeee.
Awe makiniii, asijee jikuta yeye ndo kawa kafaraaa.

Uduguu, nilitakaa kukutwaa na jamboooo, sio mchezooo
Sijui nilichomokajee na siaminii had leo. Hawa wenye hela za kicheleeee kukaa nao kimastaaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shangingi kajipata halafu alianza km utani, alikuwa na kigoli chake ghafla kachukua chumba kikubwa, mara anasema nafatilia visa, ohhh kashusha mzigo wa gauni.
Hatujatulia kanunua nyumba mbagala, mara kaanza ujenzi mwanagati.

Nilivyo mpana kila nikimuhoji ananizuga, mwisho akanitolea uvivu “we mkinga usijifanye hujui km tunaforce mambo” mie enheee! Akaniambia habari ndio hiyo mjini hatuji na majembe tutalima lami?? 😹😹😹

Ndio kuniambia kashapigwa tunguli za utosi za kutosha na chale mpk mwili umekuwa km kibao cha kashata, hayo makombe kashaoga na kunywa mpk umeingia kwenye mfumo wa damu.!

Yeye kumpata yule bwana wala sio bahati mbaya “KAPAMBANA” mji mzito 👌🤣🤣🤣

Haya nawe makubwa yapi yalitaka kukuta udugu wangu? Mbona kuniweka roho juu??
 
"Umekutwaaa, umeachwaa, umetupwaaa"
"Maneno mengi ya nini"

"Km mvuvi wa pweza tutakutana mwakani"

"Debee tupu, wewe, acha zako kelelee"

"Kwa nguvu zake rabuva, sitingishiki mie"
"Mlingoti chuma, pia kamba chumaa, na benderaa chumaa".

hatareeeeee, [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
👌 treeeenaahhh.!!
Dude lenyewe hilo awwwh limfikie mke mwenza wangu yoyote huko aliko, hivi kwanza hata namjua huyo mke mwenza!! 🤣🤣🤣
 
Kumekuchaaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumekucha na nikipiga la mgambo lazima waitike awwwhh 😂😂😂
Nasikia raha wanavyocheza beat letu, yani wakitusikia lazima Walete sura zao za “NIPIGE TAFU” 😹😹😹
Mabonge mpo? Mabonge safi?
Vifutu je??
 
We ni msosi mfano wa chips maini
Ila mbishi kama nini
Huu ni mkosi vipi hutaki kuamini
Unakuja bila tarehe
Unanyukwa kama mfungwa
Hauna kibanda kazi kudanga
So jitahid uwe unapanga hoja
Acha kubwabwaja mdomo unanuka
Unaji contradict sana
Unanitukana wakati unajitukana
Cc ephen_

Poor Brain
 
IMG_7713.jpeg
 
Bonge fanya mazoezi acha kujipa stress
Hata ukigawa bure asusa hakuna anayetaka hizo resi
Unajiona mjanja na kumbe shagapensi
Wee endelea kugawa malinda bila vest 🤣🤣🤣
 
Bonge fanya mazoezi acha kujipa stress
Hata ukigawa bure asusa hakuna anayetaka hizo resi
Unajiona mjanja na kumbe shagapensi
Wee endelea kugawa malinda bila vest 🤣🤣🤣
Ila kibonge maneno Huwa anataka yeye yani ni mshaku naku hatariiiiii
Akiona kichwa cha mtu pahala...presha inampanda hakai kwa amani..
Mapapai yaso na soko Yana tabu😅😅💔
 
Back
Top Bottom