Selfika na JF: Snap it. Show it

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Lipi hilo?
Umaarufu hautafutwi kwa nguvu unakuja automatically pimbi huyo hajui?!!

Sema JF raha sana, tukiamka na mood zetu za vingunguti wajishikilie watapata pureshaaa๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Halafu mmefananisha majina ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ #mama wa Kweli ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Dada yule amekuja kwa Kasi sana..kwa siku anaanzisha nyuzi 3๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
Yupi huyo? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Em kanitag kwanza nijionee hekaheka miye
 
[emoji1787][emoji1787] Dada yule amekuja kwa Kasi sana..kwa siku anaanzisha nyuzi 3[emoji23][emoji23][emoji174]
Stress za kukunjwa 7 na kuachwaaa mchezoo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mabasha wa JF wawe wanawahurumia hawa watoto wa wanaume wenzaoo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Lipi hilo?
Umaarufu hautafutwi kwa nguvu unakuja automatically pimbi huyo hajui?!!

Sema JF raha sana, tukiamka na mood zetu za vingunguti wajishikilie watapata pureshaaa[emoji81][emoji81]
Wee yulee wa kujifanya kumchukua bwana angu umesahau?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Aaaah wee.
 
Wee yulee wa kujifanya kumchukua bwana angu umesahau?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Aaaah wee.
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ mabwaku bado mke mwenzio kakukalia kooni??
Kwani bwana si umemuachia au naye kaachwa?!!

Shemeji awapangie zamu msigombane bi mkubwa na bi mdogo ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Halafu wote wadogo zangu sasa.!!
 
Stress za kukunjwa 7 na kuachwaaa mchezoo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mabasha wa JF wawe wanawahurumia hawa watoto wa wanaume wenzaoo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kwani naye kaachika??
Penzi lilivyonoga walikimbia wote jukwaani na bwana shemeji ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Ko limekufa wamerudisha majeshi??
Em waje waselfike kwanza
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mabwaku bado mke mwenzio kakukalia kooni??
Kwani bwana si umemuachia au naye kaachwa?!!

Shemeji awapangie zamu msigombane bi mkubwa na bi mdogo [emoji81][emoji81][emoji81]
Halafu wote wadogo zangu sasa.!!
Anatakaaa nayeyee apewee promooo, km mie nilivyokua natambaa naee winjaaa winjaaaa.

Sasa mume hatakiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Uduguuu acha fujooo, nshamuachiaaa bi mdogoo, uwanja ni wake, afu sijui anakwamaa wapii kumuhandlee bwanaaa Lol.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwani naye kaachika??
Penzi lilivyonoga walikimbia wote jukwaani na bwana shemeji [emoji81][emoji81][emoji81]

Ko limekufa wamerudisha majeshi??
Em waje waselfike kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nachekaa mbavu zinaumaa, miee
Aaaah JF ina hekaa hekaa hiii, basi mie rohoo kwatuuuu.
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ weeeeh nambie โ€œKOMAโ€
Ko bi anko naye anataka kubebishwa hadharani? Ahiyiiii nyie mi staki!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Mume kagoma kutoa kiki!! Awwwwh hii kiboko
Sasa kila mtu na nyota yake jamani..
Basi bwana shemeji ampe kiki hata kidogo naye avimbe.!! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Nawe ko umekubali kumuachia?? Usimuache Le big BOSS bana, kaba had kieleweke.!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuuuu Una nn lakiniii weyeeee??
Wameachanaaaaa!! Habariiii hunaaa, mdogoo ako kavurugwaa hukoo.

1 haikai, 2 haisimamiiii.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nachekaa mbavu zinaumaa, miee
Aaaah JF ina hekaa hekaa hiii, basi mie rohoo kwatuuuu.
Eheeeeyahhh ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Mapenzi ya jf, ila nna liubuyu linanitesa.!
Kuna penzi lingine nalo lina crackโ€™s km zote.. unaambiwa bwana kuna sehemu anajichekesha na kutoa miamala km yote Ila bidada hajuii
Weeeh uduguuuuu utaniponza niropoke ๐Ÿ˜น๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuuuu Una nn lakiniii weyeeee??
Wameachanaaaaa!! Habariiii hunaaa, mdogoo ako kavurugwaa hukoo.

1 haikai, 2 haisimamiiii.
Whattttthhhh?!!!!!
Warereeeeeee.!! Unaambiwa ukitaka kujua umuhimu wa matraco kalia kichwa uone.!!

Na toka lini sikio likazidi kichwa??
Kwahiyo baba Jane bye bye ๐Ÿ‘‹๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Jamani dj Nyamwi em nipigie kibao cha mapacha watatu โ€œKUACHWAโ€ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ndiomana hana raha machikiniii katoto lee

Sasa Shem anataka kurudi nyumba kubwa au? ๐Ÿ˜œ
Mana uduguu ukute ushapindua meza kibabe
 
Sema kingineeee
Pateni wadhamini kidogoooo

View: https://youtu.be/45RcMjUciIw?si=ouKs1WQBI1DMXCYi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ