Muite boss mjep aje akubless basiNipo nasubiria vocha hapa maboss sikuiz hawatumi vocha wamekasirishwa tuoneeni huruma vijana
Nionyeshe sample nkamu π€£π€£π€£Kivumbi πππππππ
Aisee
π€£π€£π€£ we tuliaHaya nimetuliaa tuliiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Majotrooo π€£π€£π€£Haikinaishi wala haichoshi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππππππππππNikiweka picha mashoga mabonge nyanya yote yatakuja kujinunisha km wametiwa jiti la nonino πΉπΉπΉ
Ila tulia ntakushtua usikae mbalii
Eti kibao Cha kashataππShangingi kajipata halafu alianza km utani, alikuwa na kigoli chake ghafla kachukua chumba kikubwa, mara anasema nafatilia visa, ohhh kashusha mzigo wa gauni.
Hatujatulia kanunua nyumba mbagala, mara kaanza ujenzi mwanagati.
Nilivyo mpana kila nikimuhoji ananizuga, mwisho akanitolea uvivu βwe mkinga usijifanye hujui km tunaforce mamboβ mie enheee! Akaniambia habari ndio hiyo mjini hatuji na majembe tutalima lami?? πΉπΉπΉ
Ndio kuniambia kashapigwa tunguli za utosi za kutosha na chale mpk mwili umekuwa km kibao cha kashata, hayo makombe kashaoga na kunywa mpk umeingia kwenye mfumo wa damu.!
Yeye kumpata yule bwana wala sio bahati mbaya βKAPAMBANAβ mji mzito ππ€£π€£π€£
Haya nawe makubwa yapi yalitaka kukuta udugu wangu? Mbona kuniweka roho juu??
Sii michundoo ya JF, Inanichokoza enyewee, nikii saula inakimbilia kujiliza kwa modes, aaaaahNikataka nishangae
Coca ni wa kupotea hivi bila sababu?
πππππWazungu wamekubwaga umekimbilia kuwa barmaid πΉπΉ
Eti Paris wakati hata msumbiji hujawahi kufika!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Majotrooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nshatuliaaa uduguu akee, mie tenaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we tulia
Ngoja tutafute sample kwanzaNionyeshe sample nkamu π€£π€£π€£
πππππππππππππ
Kuna mijitu muda wote ni kuliaSii michundoo ya JF, Inanichokoza enyewee, nikii saula inakimbilia kujiliza kwa modes, aaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kale kapunga kanaota Paris wakati hata hela za kimataifa hakazijuiπππ
Wamejaaa teleee JF, haiwezagi battle, ikionaa inaelemewa inakimbilia kwa modes kujiliza liza.Kuna mijitu muda wote ni kulia
Halafu unakuta ni ya kiume
Akiyanani nikiona kitu la kiume linapapatika na kulia Kwa mod naliona kama limama zembe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kale kapunga kanaota Paris wakati hata hela za kimataifa hakazijui
Aanzie kwanza kariakoo, Mozambique mbali huko
Mie siku hizi nimejiupgrade[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ewaaah π€£π€£Ngoja tutafute sample kwanza
Na delivery tutamfanyia mke mwenza
Ss hivi unapiga nayo hip hop ngumu mpk waache shobo roboKuna mijitu muda wote ni kulia
Halafu unakuta ni ya kiume
Akiyanani nikiona kitu la kiume linapapatika na kulia Kwa mod naliona kama limama zembe
Kapunga sese kamekondoeana km mbwa ya jela π€£π€£Kale kapunga kanaota Paris wakati hata hela za kimataifa hakazijui
Aanzie kwanza kariakoo, Mozambique mbali huko