Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Shangingi kajipata halafu alianza km utani, alikuwa na kigoli chake ghafla kachukua chumba kikubwa, mara anasema nafatilia visa, ohhh kashusha mzigo wa gauni.
Hatujatulia kanunua nyumba mbagala, mara kaanza ujenzi mwanagati.

Nilivyo mpana kila nikimuhoji ananizuga, mwisho akanitolea uvivu “we mkinga usijifanye hujui km tunaforce mambo” mie enheee! Akaniambia habari ndio hiyo mjini hatuji na majembe tutalima lami?? 😹😹😹

Ndio kuniambia kashapigwa tunguli za utosi za kutosha na chale mpk mwili umekuwa km kibao cha kashata, hayo makombe kashaoga na kunywa mpk umeingia kwenye mfumo wa damu.!

Yeye kumpata yule bwana wala sio bahati mbaya “KAPAMBANA” mji mzito 👌🤣🤣🤣

Haya nawe makubwa yapi yalitaka kukuta udugu wangu? Mbona kuniweka roho juu??
Eti kibao Cha kashata😂😂
 
Sii michundoo ya JF, Inanichokoza enyewee, nikii saula inakimbilia kujiliza kwa modes, aaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mijitu muda wote ni kulia
Halafu unakuta ni ya kiume
Akiyanani nikiona kitu la kiume linapapatika na kulia Kwa mod naliona kama limama zembe
 
Kuna mijitu muda wote ni kulia
Halafu unakuta ni ya kiume
Akiyanani nikiona kitu la kiume linapapatika na kulia Kwa mod naliona kama limama zembe
Wamejaaa teleee JF, haiwezagi battle, ikionaa inaelemewa inakimbilia kwa modes kujiliza liza.
Wanaboa na kukeraa mnooo, mxxxxiiiiieeew zao.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie siku hizi nimejiupgrade
Mabwwge wote siwajibu
Sitoi kiki Kwa wanaotafuta umaarufu Kwa kubishana na mimi

Kuna watu anajiona ili apae basi atafute katopic ka kubishana na watu popular.
 
Kuna mijitu muda wote ni kulia
Halafu unakuta ni ya kiume
Akiyanani nikiona kitu la kiume linapapatika na kulia Kwa mod naliona kama limama zembe
Ss hivi unapiga nayo hip hop ngumu mpk waache shobo robo
 
Back
Top Bottom