Selfika na JF: Snap it. Show it

Mie siku hizi nimejiupgrade
Mabwwge wote siwajibu
Sitoi kiki Kwa wanaotafuta umaarufu Kwa kubishana na mimi

Kuna watu anajiona ili apae basi atafute katopic ka kubishana na watu popular.
Dada boraa wee Una moyo wa kuhimilii ngengaa za wajaa, mie siweziii.
Kiki nawapaa, umaarufu hawapatiiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mie siku hizi nimejiupgrade
Mabwwge wote siwajibu
Sitoi kiki Kwa wanaotafuta umaarufu Kwa kubishana na mimi

Kuna watu anajiona ili apae basi atafute katopic ka kubishana na watu popular.
Wanapenda kutembelea upepo wa watu 🀣🀣
 
Wamejaaa teleee JF, haiwezagi battle, ikionaa inaelemewa inakimbilia kwa modes kujiliza liza.
Wanaboa na kukeraa mnooo, mxxxxiiiiieeew zao.
Wanawaita utashangaa comments zinafutwa hapo tupu kishajipeleka kuripoti..!!
Wanachokoza ugomvi wa mawe wakati beki hazikabi 😹
 
Wanawaita utashangaa comments zinafutwa hapo tupu kishajipeleka kuripoti..!!
Wanachokoza ugomvi wa mawe wakati beki hazikabi [emoji81]
Diaraa yuko Likizo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naangalia tamthilia ya Karma, min akee atakua ananyetuka muda huu
Lol leo sijaangalia ntaangalia marudio Kesho!

Nimetingwa na boli la wanaumee πŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ–€πŸ–€πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ!

Una utani na min ako weee kwamba kakosa kabisa pa kuteleza mpaka anyetuke kweli???

Ngoja aje Akija Mie simoooo😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…