raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapunga sese kamekondoeana km mbwa ya jela 🤣🤣Kale kapunga kanaota Paris wakati hata hela za kimataifa hakazijui
Aanzie kwanza kariakoo, Mozambique mbali huko
Dada boraa wee Una moyo wa kuhimilii ngengaa za wajaa, mie siweziii.Mie siku hizi nimejiupgrade
Mabwwge wote siwajibu
Sitoi kiki Kwa wanaotafuta umaarufu Kwa kubishana na mimi
Kuna watu anajiona ili apae basi atafute katopic ka kubishana na watu popular.
Wanapenda kutembelea upepo wa watu 🤣🤣Mie siku hizi nimejiupgrade
Mabwwge wote siwajibu
Sitoi kiki Kwa wanaotafuta umaarufu Kwa kubishana na mimi
Kuna watu anajiona ili apae basi atafute katopic ka kubishana na watu popular.
Wanawaita utashangaa comments zinafutwa hapo tupu kishajipeleka kuripoti..!!Wamejaaa teleee JF, haiwezagi battle, ikionaa inaelemewa inakimbilia kwa modes kujiliza liza.
Wanaboa na kukeraa mnooo, mxxxxiiiiieeew zao.
Diaraa yuko Likizo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanawaita utashangaa comments zinafutwa hapo tupu kishajipeleka kuripoti..!!
Wanachokoza ugomvi wa mawe wakati beki hazikabi [emoji81]
😂😂😂 ngoja kwanza nikavute gozo nije nimshone marinda yarudiDiaraa yuko Likizo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumeenjoy sana Leo beach🤗🤗😅
Njoo Tips Nyamwi255 😊Tumeenjoy sana Leo beach🤗🤗😅
Mjep njoo uokooe jahaz ukuMuite boss mjep aje akubless basi
Ha ha Saint Anne one and only13megapixel himself
Mimi ni Singida Fc nipo na Guede akeeTuna angalia tamthilia hapa😊 huyo ni mwana thiimba siku hizi😁
Lol leo sijaangalia ntaangalia marudio Kesho!Naangalia tamthilia ya Karma, min akee atakua ananyetuka muda huu
Ukimaliza kuangalia uje uniadithie leo dish limeyumba sion kituNaangalia tamthilia ya Karma, min akee atakua ananyetuka muda huu
Unamjua Jaikyungu?Ukimaliza kuangalia uje uniadithie leo dish limeyumba sion kitu
Ndio namjua kwaza yule mama jana alichezesha vidole vip leo kaamkaUnamjua Jaikyungu?