Selfika na JF: Snap it. Show it

Mmmh bwabwa hilo, yeye mwenyewe kawekwa ndani kula na kulala
Aisee,huyu kijana unapocheka nae kumbe anakuwa anakuchora tu siku akuharibie....sikumdhania....na kilichompanikisha ni Mimi kukutetea mnavyokwazana kule kwenye thread....kazi yake ni kuumiza watu sijui atakua lini aiseeπŸ™Œ
 
Unampaje ushindi, atoe PC kwanza ndio awe mshindi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mi niko sambamba na wewe mpk tajiri atoe PC tena Mac book hatutaki brand nyingine.!
Niliomba hadharani cute ....nilisaidiwa pm....nishanunua tayari.Sasa anachoumizwa na michango ya watu ni nini
 
Aisee,huyu kijana unapocheka nae kumbe anakuwa anakuchora tu siku akuharibie....sikumdhania....na kilichompanikisha ni Mimi kukutetea mnavyokwazana kule kwenye thread....kazi yake ni kuumiza watu sijui atakua lini aiseeπŸ™Œ
Yeye mbona maelezo yake tofauti, kasema mnajuana ww goma lake na unambebisha sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Na idadi ya kids wako anaijua eti?! 🫒
 
Niliomba hadharani cute ....nilisaidiwa pm....nishanunua tayari.Sasa anachoumizwa na michango ya watu ni nini
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yeye kasema ulimuomba pembeni na ukaanza kuomba akusaidie school fees ya kina Junior 🫒
 
🀣🀣🀣🀣🀣Jamani...ndo maana nimemuuliza nishawahi ingia pm yake? But it's ok mshindi yeye
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Huko pembeni anawananga sana mnamzamia pm kumsumbua na njaa zenu wohiiii nouma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…