Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mmmh bwabwa hilo, yeye mwenyewe kawekwa ndani kula na kulala
Aisee,huyu kijana unapocheka nae kumbe anakuwa anakuchora tu siku akuharibie....sikumdhania....na kilichompanikisha ni Mimi kukutetea mnavyokwazana kule kwenye thread....kazi yake ni kuumiza watu sijui atakua lini aisee๐Ÿ™Œ
 
Unampaje ushindi, atoe PC kwanza ndio awe mshindi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mi niko sambamba na wewe mpk tajiri atoe PC tena Mac book hatutaki brand nyingine.!
Niliomba hadharani cute ....nilisaidiwa pm....nishanunua tayari.Sasa anachoumizwa na michango ya watu ni nini
 
Aisee,huyu kijana unapocheka nae kumbe anakuwa anakuchora tu siku akuharibie....sikumdhania....na kilichompanikisha ni Mimi kukutetea mnavyokwazana kule kwenye thread....kazi yake ni kuumiza watu sijui atakua lini aisee๐Ÿ™Œ
Yeye mbona maelezo yake tofauti, kasema mnajuana ww goma lake na unambebisha sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Na idadi ya kids wako anaijua eti?! ๐Ÿซข
 
Niliomba hadharani cute ....nilisaidiwa pm....nishanunua tayari.Sasa anachoumizwa na michango ya watu ni nini
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ yeye kasema ulimuomba pembeni na ukaanza kuomba akusaidie school fees ya kina Junior ๐Ÿซข
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃJamani...ndo maana nimemuuliza nishawahi ingia pm yake? But it's ok mshindi yeye
 
IMG_7785.jpeg
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃJamani...ndo maana nimemuuliza nishawahi ingia pm yake? But it's ok mshindi yeye
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Huko pembeni anawananga sana mnamzamia pm kumsumbua na njaa zenu wohiiii nouma sana
 
Back
Top Bottom