ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Ananidanganya na mimi namsikiliza tu๐๐๐๐๐!
Huendi mbinguni ujue
Ukimjua mtu unaenda nae hivyohivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ananidanganya na mimi namsikiliza tu๐๐๐๐๐!
Huendi mbinguni ujue
Weee unapenda anaeiombaje??๐Hajui kuiomba๐
Anajua kuiomba ila namzinguay
Weee unapenda anaeiombaje??๐
Ila Wii๐๐๐wewe kibokoChuma icho ๐๐๐
Ila kaka hapa kajipata mtoto mlito, mali safi kabisa.!
Usingizi wa kaka yangu ๐ฅฐ๐ฅฐ
Ulivyo mkareee naona watu mate yanawatoka ila wanashikilia moyo..
๐๐๐๐๐! Siku akuzimishe ndio utajua wanaume wapole upole wao uliko ๐Namtania min ake nitakavyo sababu hakasiriki
Kazidi upolee
Hafananii mbona๐๐๐๐๐๐! Siku akuzimishe ndio utajua wanaume wapole upole wao uliko ๐
Nani?Yupo mwingine analalamika anaombwa PC na pesa eti kachoka mademu zake njaa nyingi ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Nkamu uliomba PC ya pesa nyingi, ungemuomba hata dell ๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐
Mshindi yeye aisee๐Nkamu uliomba PC ya pesa nyingi, ungemuomba hata dell ๐๐๐
Unampaje ushindi, atoe PC kwanza ndio awe mshindi ๐๐๐Mshindi yeye aisee๐
Aisee,huyu kijana unapocheka nae kumbe anakuwa anakuchora tu siku akuharibie....sikumdhania....na kilichompanikisha ni Mimi kukutetea mnavyokwazana kule kwenye thread....kazi yake ni kuumiza watu sijui atakua lini aisee๐Mmmh bwabwa hilo, yeye mwenyewe kawekwa ndani kula na kulala
Niliomba hadharani cute ....nilisaidiwa pm....nishanunua tayari.Sasa anachoumizwa na michango ya watu ni niniUnampaje ushindi, atoe PC kwanza ndio awe mshindi ๐๐๐
Mi niko sambamba na wewe mpk tajiri atoe PC tena Mac book hatutaki brand nyingine.!
Yeye mbona maelezo yake tofauti, kasema mnajuana ww goma lake na unambebisha sana ๐๐๐Aisee,huyu kijana unapocheka nae kumbe anakuwa anakuchora tu siku akuharibie....sikumdhania....na kilichompanikisha ni Mimi kukutetea mnavyokwazana kule kwenye thread....kazi yake ni kuumiza watu sijui atakua lini aisee๐
๐๐๐ yeye kasema ulimuomba pembeni na ukaanza kuomba akusaidie school fees ya kina Junior ๐ซขNiliomba hadharani cute ....nilisaidiwa pm....nishanunua tayari.Sasa anachoumizwa na michango ya watu ni nini
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃJamani...ndo maana nimemuuliza nishawahi ingia pm yake? But it's ok mshindi yeye๐๐๐ yeye kasema ulimuomba pembeni na ukaanza kuomba akusaidie school fees ya kina Junior ๐ซข
Makubwaaa ilikuwaje tena๐๐Jf wanaume ni wachache Sana aisee,Cha kushangaza anahusisha wanangu...jamani ...alitaka nisizae? Nitoe mimba? Aisee,hovyo sana
๐๐๐ Huko pembeni anawananga sana mnamzamia pm kumsumbua na njaa zenu wohiiii nouma sana๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃJamani...ndo maana nimemuuliza nishawahi ingia pm yake? But it's ok mshindi yeye