Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Poleni sana wanaume kama mabinti na sasa naona anamtagg dem fulani hv ipo siku atamuumbua,,
Muomba vocha anawasema wenzie wanamuomba vocha pyumbavu yeye na uk.. wake
Huyo mbona tayari na picha zake kashasambaza 😹😹😹
 
Vincenzo Jr mechi ishaisha njoo bana uniambie ulivyoombwa pesa na pc tajiriiiiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila wewe ngadu una hekaheka sana ujue, ko unaombwa miutajiri yako!!
Nasikia wanakusumbua uwatumie vocha kwenye bday yako had wanalia [emoji81][emoji81][emoji81]
Ahiyiiii nyie mie [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bonge utapiamlo njoo humu😖 hela ya kununua pc huna afu kuwasemea pembeni,
maskini mkubwa ulikuwa unang'ang'ana na vocha na wanawake leo huu kumnanga mtu mzima, ?badilika kijana hata wanaowasili ana na wewe nje ya jamii forum wajitathimni
 
Huyu tajiri nasikia hapendi tabia ya kuombwa ombwa pesa na manzi wake aliopita nao eti wanamsumbua njaa nyingi [emoji23][emoji23][emoji23]

Wengine analalamika wanambebisha yy hapendi, na wanamuomba PC yake ya Mac book aliyonunua Paris pale Apple Store [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeee!!!!
 
Unampaje ushindi, atoe PC kwanza ndio awe mshindi [emoji23][emoji23][emoji23]
Mi niko sambamba na wewe mpk tajiri atoe PC tena Mac book hatutaki brand nyingine.!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiiiiiiih mambo nayapendaa hayaaa!!
 
Back
Top Bottom