Selfika na JF: Snap it. Show it

Poleni sana wanaume kama mabinti na sasa naona anamtagg dem fulani hv ipo siku atamuumbua,,
Muomba vocha anawasema wenzie wanamuomba vocha pyumbavu yeye na uk.. wake
Huyo mbona tayari na picha zake kashasambaza 😹😹😹
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bonge utapiamlo njoo humu😖 hela ya kununua pc huna afu kuwasemea pembeni,
maskini mkubwa ulikuwa unang'ang'ana na vocha na wanawake leo huu kumnanga mtu mzima, ?badilika kijana hata wanaowasili ana na wewe nje ya jamii forum wajitathimni
 
Nipo sambamba huyu anaekaa kwa muarabu wake huko kig na kuchafulia watu majina wakati hawezi kitu
Mkuu unatokeaga kwenye ugomvi tu 🤣🤣
Ila kuna kitu umeongea nimecheka sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeee!!!!
 
Unampaje ushindi, atoe PC kwanza ndio awe mshindi [emoji23][emoji23][emoji23]
Mi niko sambamba na wewe mpk tajiri atoe PC tena Mac book hatutaki brand nyingine.!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiiiiiiih mambo nayapendaa hayaaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…