Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Si ndo yeyee alimfataaa jamaa fulaani humu, kumuombaa msaada, afu baadae anasema, iwe siri na hakikishaa, cocastic au lammomy hamfikii, wale wabayaa sanaaa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] habari zako tunazooo,

Na siku nikitibukaaaa, nawekaa waziii ulivyokua Una mnangaa BL kisa varangati lake na ephen, kuhusu uzii kuunganishwaaa

Hukoo PM tunayooo yoteeeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🙄🙄🙄
 
Hee
Matajiri wa daslama wameanza kuombaomba
Kweli Dar na makapuku limbukeni ni wengi
Dadaaa, unapitwaaaa na umbeaaaa, nenda uzii wa JF all members chat
Kajioneee njegekaaa, mashostitooo wamekwaruaaaana huko hatareee, yaan wamechachuanaa kinoumaaaa!!!

Wahiii usipitweeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii jamiiforum ya browser kwangu ni mateso tu
Imenifanya niwe mvivu
Sasahivi naweza hata maliza wiki sijaingia na naona kawaida.

Tajiri uchwara kazua balaa gani tena?
Akiyanani mwaka huu watu wanaforce umaarufu
 
Nendaaa kajioneeee, kavujishaa picha za shost ake ephen kwa wajaa.
Wanaparuanaaa hukoo hatareee, aaaaaaiiiiiiih.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Heee
Hadi shostito kazungukwa
Kweli Dogo akili hana hata chache
 
Si ndo yeyee alimfataaa jamaa fulaani humu, kumuombaa msaada, afu baadae anasema, iwe siri na hakikishaa, cocastic au lammomy hamfikii, wale wabayaa sanaaa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] habari zako tunazooo,

Na siku nikitibukaaaa, nawekaa waziii ulivyokua Una mnangaa BL kisa varangati lake na ephen, kuhusu uzii kuunganishwaaa

Hukoo PM tunayooo yoteeeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 eeehh hii mpya?
 
Mods wanakateteaje sasa
Mbona kenyewe kanazunguka na khanga moko kutukana watu PM
Au hawajayaona tuwawekee waone jinsi kanavyowashwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie Modes walishanikatazaa na hata Mello aliniambia tsup,
Siku nikifungukaa kuhusu PDF za watu, ntapigwa Life Ban, na acc kufutwaa mazimaa.

Wananioneaa mnooo, aaaaah
 
Back
Top Bottom