Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
🙄🙄🙄Si ndo yeyee alimfataaa jamaa fulaani humu, kumuombaa msaada, afu baadae anasema, iwe siri na hakikishaa, cocastic au lammomy hamfikii, wale wabayaa sanaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] habari zako tunazooo,
Na siku nikitibukaaaa, nawekaa waziii ulivyokua Una mnangaa BL kisa varangati lake na ephen, kuhusu uzii kuunganishwaaa
Hukoo PM tunayooo yoteeeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]