Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapa kwanza nicheke![emoji23]
Picha zangu wa kuvujisha humu ni mchumba peke yake! Wengine waendelee kufanya ana ana dooo
Tena uchekee haswaaa!!!
Niliwaambia Wajaa waje wawaonee mkiparuanaa.
Sisi hukuu rohoo kwatuuuuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapa kwanza nicheke!πŸ˜‚
Picha zangu wa kuvujisha humu ni mchumba peke yake! Wengine waendelee kufanya ana ana dooo
Unajuaje km hazijavujishwa? 🀣🀣🀣
Sema payge kanipa onyo ila jana ningekuleta nginja nginja.. halafu au basi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nyie mie ahiiiyiiiiiii πŸ€Έβ€β™‚οΈ
 
Tena uchekee haswaaa!!!
Niliwaambia Wajaa waje wawaonee mkiparuanaa.
Sisi hukuu rohoo kwatuuuuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguu ujue humu watu wanaamini sana hao watu so called babe, nyenyeee, chwitiii ila wangejua 🀣🀣🀣
JF ni kichaka chenye wanyama wakali lkn hawasikii.. weeeh Payge nawapa salam za blue Monday wana kijiwe wasije kuanza kukusumbua.. piga kazi mkuu 😻
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Payge angetuacha kidogo kwanza tumalize viporo
Yaan unajuaa kanipoozesha yule mode, nilituliaa tulii km co mie vile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…