Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tatizo babu mwenzako nilizaliwa na mama kijana, naye alizaliwa na mama yake kijana toto la kinyamwezi.. ndio huyo bibi yangu kaniharibu na mineno yake [emoji23][emoji23]

Kuna siku simu yake inaita nikamwambia bibi pokea simu au nikupokelee akanijibu, We mtoto koma,”Huyo mshefa wangu alikuwa footballer” [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi na mi nikakumbuka nikakuita hivyo kina bibi wakuje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi yako amechachukaa vibayaaaa.
 
Imekuajeeeee? Wee uduguuu nambiee, nishafikaaa hapaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unavyopenda ubuyu ukawahi chap 🤣🤣🤣

Bana kuna mteja ananitia majaribu mwenzio, zile sifa zetu pendwa zote anazo jamani.!! 🤦‍♀️

Huyu mkaka bana first time anaingia kwa shop moyo ulifanya pah!! 😜
Madogo wakamuhudumia mimi nimekaa pembeni namchora tu, baadae akaomba tumuadd kwenye group awe anaona sample..
Sasa kijana akanipa order kuna mzigo nilishusha, nikamuelekeza kwa Kaka wa dukani ili aweke order yake, sikujua km ndio yeye..!!

Kilichoendelea ngoja ninywe maji kwanza narudi 😂
 
Unavyopenda ubuyu ukawahi chap [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Bana kuna mteja ananitia majaribu mwenzio, zile sifa zetu pendwa zote anazo jamani.!! [emoji2356]

Huyu mkaka bana first time anaingia kwa shop moyo ulifanya pah!! [emoji12]
Madogo wakamuhudumia mimi nimekaa pembeni namchora tu, baadae akaomba tumuadd kwenye group awe anaona sample..
Sasa kijana akanipa order kuna mzigo nilishusha, nikamuelekeza kwa Kaka wa dukani ili aweke order yake, sikujua km ndio yeye..!!

Kilichoendelea ngoja ninywe maji kwanza narudi [emoji23]
Niko hapaaa kusikilizaaaa uduguuu, kunywa majii uje uendelee kunipaa huu ubuyuu, mbna wa motoooo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi yako amechachukaa vibayaaaa.
😂😂😂 Bibi ukikaa naye hachoshi wala haboi, anapenda kwenda live band huyoo.!!

Bibi halali, kuna siku niliweka status usiku nikampost rafiki yangu weeh.! Eti akareply “Mida ya majambazi kupostiwa” 😹😹😹
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Bibi ukikaa naye hachoshi wala haboi, anapenda kwenda band huyoo.!!

Bibi halali, kuna siku niliweka status usiku nikampost rafiki yangu weeh.! Eti akareply “Mida ya majambazi kupostiwa” [emoji81][emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaaaaaiiiiiiih!! Bibii yako ana mabwakuuu.
 
Niko hapaaa kusikilizaaaa uduguuu, kunywa majii uje uendelee kunipaa huu ubuyuu, mbna wa motoooo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba nikumalizie pm hapa ntazua taharuki 😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaaaaaiiiiiiih!! Bibii yako ana mabwakuuu.
Uje siku moja twende kwake ukapate kitchen party isiyo na vyombo, ana sauti nzuri hiyo halafu ina kigugumizi..!
Bibi lizuri linazeeka na utramu wake.! 😂😂😂
 
Tatizo babu mwenzako nilizaliwa na mama kijana, naye alizaliwa na mama yake kijana toto la kinyamwezi.. ndio huyo bibi yangu kaniharibu na mineno yake 😂😂

Kuna siku simu yake inaita nikamwambia bibi pokea simu au nikupokelee akanijibu, We mtoto koma,”Huyo mshefa wangu alikuwa footballer” 🤣🤣🤣
Basi na mi nikakumbuka nikakuita hivyo kina bibi wakuje
Inaonekana una misamiati mingi sana Mjukuu, njoo uniletee Kiko ili unifundishe zaidi hiyo misamiati 🤗
 
Uje siku moja twende kwake ukapate kitchen party isiyo na vyombo, ana sauti nzuri hiyo halafu ina kigugumizi..!
Bibi lizuri linazeeka na utramu wake.! [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu weuweeeeee!!! Bibi tunae na tunatambaa nae.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom