Unavyopenda ubuyu ukawahi chap [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bana kuna mteja ananitia majaribu mwenzio, zile sifa zetu pendwa zote anazo jamani.!! [emoji2356]
Huyu mkaka bana first time anaingia kwa shop moyo ulifanya pah!! [emoji12]
Madogo wakamuhudumia mimi nimekaa pembeni namchora tu, baadae akaomba tumuadd kwenye group awe anaona sample..
Sasa kijana akanipa order kuna mzigo nilishusha, nikamuelekeza kwa Kaka wa dukani ili aweke order yake, sikujua km ndio yeye..!!
Kilichoendelea ngoja ninywe maji kwanza narudi [emoji23]