Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Nimeipenda iko poa sana kibachela ya kibabe 😅😅😅😅. Wanawake tuna mambo mengi, salon tu laki kadhaa zitaondoka. Sehemu unayoenda, chakula na marafiki. Bajeti inakuwa kubwa kidogoIjumaaa
jioni ugali makange 7500
Jumamosi
Sabuni ya unga 1200
Sabuni kipande 700 hapo
Maji ya 300 kufua tayari
Nauli kwenda na kurudi 1200
Jpili
Ibada sadaka 5000(bahasha 5)
Mihogo 1000
Msosi 10000
Weekend over😂😂