Selfika na JF: Snap it. Show it

Ijumaaa
jioni ugali makange 7500

Jumamosi
Sabuni ya unga 1200
Sabuni kipande 700 hapo
Maji ya 300 kufua tayari
Nauli kwenda na kurudi 1200

Jpili
Ibada sadaka 5000(bahasha 5)
Mihogo 1000
Msosi 10000

Weekend overπŸ˜‚πŸ˜‚
Nimeipenda iko poa sana kibachela ya kibabe πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…. Wanawake tuna mambo mengi, salon tu laki kadhaa zitaondoka. Sehemu unayoenda, chakula na marafiki. Bajeti inakuwa kubwa kidogo
 
niwe
Hivyo eeh? Ila inategemea na mtu, vitu anavyopenda. Mimi huwa ni zero kwenye matumizi ya hela. Sina bajeti, najibebea tu, zikirudi haya zikipotea kwa vitu vya kijinga haya. Napenda wenye bajeti, I wish niwe hivyo.
.Rafik yako mm na bajet dam dam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…