Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

pia mwenyewe anajipenda na anajua tafuta pesa wanasema usitumie pesa ovyo kama.hujui kutafuta
Mimi nachoma leo hii...

IMG_5992.jpeg
 
Nitakuwepo bukoba, nilikuwa huko Kampala na Entebe wenzetu wanatumia hela sijawahi ona. Nilitembelea viwanja kadhaa hapo Kampala Catwalk Lounge na Throne ni balaa tupu nilikaa siku kadhaa ila nilifurahia sana...
Ungenistuaa jamani juzi nilikua huko saiii niko Massaka kesho mapemaaa sana naamsha Tz. Bk ntapita asubuhi sana make naenda Mwanza!
Napenda venye waganda wanatumia sana pesa pia wanajuhudi sana ya kutafuta pesa wakizipata hata kutumia leo zikaisha kesho asubuhi asiamke hata na mia mbovu kwao kawaida sanaa!
Napenda tu huu uzungu uzungu wao
 
Tungeamka kesho huko Mwanza kesho napokea maboss wangu
 
Back
Top Bottom