Selfika na JF: Snap it. Show it

Nitakuwepo bukoba, nilikuwa huko Kampala na Entebe wenzetu wanatumia hela sijawahi ona. Nilitembelea viwanja kadhaa hapo Kampala Catwalk Lounge na Throne ni balaa tupu nilikaa siku kadhaa ila nilifurahia sana...
Ungenistuaa jamani juzi nilikua huko saiii niko Massaka kesho mapemaaa sana naamsha Tz. Bk ntapita asubuhi sana make naenda Mwanza!
Napenda venye waganda wanatumia sana pesa pia wanajuhudi sana ya kutafuta pesa wakizipata hata kutumia leo zikaisha kesho asubuhi asiamke hata na mia mbovu kwao kawaida sanaa!
Napenda tu huu uzungu uzungu wao
 
Tungeamka kesho huko Mwanza kesho napokea maboss wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…