Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Nimjulie wapi mie.. ndio nani huyo? 😂😂Noo bhna unamjua babu sambeki wa moshi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimjulie wapi mie.. ndio nani huyo? 😂😂Noo bhna unamjua babu sambeki wa moshi?
Kumbe ana mshepu😳Shoga na huo mshepu vijora havikai chap mzigo tunamaliza mapema sanaaa 😂😂😂
Njoo bff wangu tupige maokoto sie, ukiendekeza aibu utalala njaa na kutumika na wanaume washenzi na mbugila mbugila 🤣🤣🤣
Wewe toka umetoa umeingiza kiasi gani? 😂😂Ukitoa ndio unapata zaidi
Chaaap nipe location nije tutafute hela ya vacation dizemba keshokutwaShoga na huo mshepu vijora havikai chap mzigo tunamaliza mapema sanaaa 😂😂😂
Njoo bff wangu tupige maokoto sie, ukiendekeza aibu utalala njaa na kutumika na wanaume washenzi na mbugila mbugila 🤣🤣🤣
😂😂😂😂Kuna siku nitaiweka ndinga yako hapa na plate number, sijui lini Ila ipo siku nikiamka kichwa kikiwa na wenge😎
Hapo tunaenda sawa 😂😂poa muhimu pesa
Usimsikilize winga huyu anakudanganyaKumbe ana mshepu😳
ahaha nije niripot lini.kaziniHapo tunaenda sawa 😂😂
Km unavyoomba vingine kwa kumaanisha na yeye muombe pesa hawezi kukunyima.!!Sijazoea kabisa kuomba, Ila shida ninayo kweli. Hapo ndio pagumu
Wa kwendea shauri yako 😂😂😂Kumbe ana mshepu😳
Umeona ehh bff 😍😍😍Chaaap nipe location nije tutafute hela ya vacation dizemba keshokutwa
Kwakeli lazima mwaka umekuwa mrefu sana huu na visa na Mikasa lazima kujipongezaUmeona ehh bff 😍😍😍
Hii dize wallah lazima nijichimbie sehemu nione uumbaji wa dunia ulivyo 🤣🤣🤣
Location ile ile bff
msimbazi karibu na duka la maduvet 🤣Umeona ehh bff 😍😍😍
Hii dize wallah lazima nijichimbie sehemu nione uumbaji wa dunia ulivyo 🤣🤣🤣
Location ile ile bff
Nitakushtua tulia acha papara 😂😂ahaha nije niripot lini.kazini
Hii nimeipania sana 😂😂Kwakeli lazima mwaka umekuwa mrefu sana huu na visa na Mikasa lazima kujipongeza
ngoja niendelee na push upNitakushtua tulia acha papara 😂😂
😂😂😂 eehh kwa mbele kidogo km unaingia nyamwezi kabla hujafika livingstone, pembeni ya tandamti, kushoto na mchikichi juu ya ddc nyuma ya narung’ombe kulia ukipandisha msikiti wa Idrisa 😹😹msimbazi karibu na duka la maduvet 🤣
MahoHatujaona 🤳ulotupia ujue fanya manuva weekend yetruuu iishe vizuri kiongozi
Mzee wa tandam 😂😂😂Mambo yangu hayo , sema nipo huku nachingwea😅😅😅
mpaka hapo nishapotea walahiiiii hafiiiiiii kabisa😂😂😂 eehh kwa mbele kidogo km unaingia nyamwezi kabla hujafika livingstone, pembeni ya tandamti, kushoto na mchikichi juu ya ddc nyuma ya narung’ombe kulia ukipandisha msikiti wa Idrisa 😹😹