Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Nawaza sijui nitaonekanaje, naona aibu kinoma Ila pesa naitaka😞😂😂😂 muombe usione aibu shauri yako utalala njaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawaza sijui nitaonekanaje, naona aibu kinoma Ila pesa naitaka😞😂😂😂 muombe usione aibu shauri yako utalala njaa
nipo njee ya dar now ni changamotoSi umesharudi fanya sasa
Rudi mjini wewenipo njee ya dar now ni changamoto
Nikusaidie wewe kilema? 😂😂Sio kuhonga ni kunisaidia tu
kuna mambo yana nibana mfano now nakuja dar nitakuwa two week then narudi somewhereRudi mjini wewe
Ndinga ya moto ile tajiriiiiii umenifokea mpk nimeona nasindikiza watu tu duniani 😂😂😂No bhna , ndinga kitu gani bhna 🥲
aahhahaah ase nimecheka acha tuWatanionaje itakulaza njaaa shauri yako
Ukitoa ndio unapata zaidiNikusaidie wewe kilema? 😂😂
Tumsubiri bosslady aje atoe sandakalawe tugombaniane hapa, mwenyewe nataka mtaji wa vijora 😹
mimi mbna sijaikataa iyooWatanionaje itakulaza njaaa shauri yako Lamomy nipe hii tenda
Kuna siku nitaiweka ndinga yako hapa na plate number, sijui lini Ila ipo siku nikiamka kichwa kikiwa na wenge😎Ndinga ya moto ile tajiriiiiii umenifokea mpk nimeona nasindikiza watu tu duniani 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 Ila Chinno unazingua!!Kwenye maombi 12 niliyoandika pale kawe! Mmoja ni la kupunguza vita zako.
Nashukuru Mungu zote zimeisha
Ndio unakuwa mdoli ili waone sample 😜Kijora tena uhuuu 😁😁
poa muhimu pesaNdio unakuwa mdoli ili waone sample 😜
Mbona vingine huoni aibu? 😂😂😂Nawaza sijui nitaonekanaje, naona aibu kinoma Ila pesa naitaka😞
Sijazoea kabisa kuomba, Ila shida ninayo kweli. Hapo ndio pagumuMbona vingine huoni aibu? 😂😂😂
Shoga na huo mshepu vijora havikai chap mzigo tunamaliza mapema sanaaa 😂😂😂Watanionaje itakulaza njaaa shauri yako Lamomy nipe hii tenda
post mkuuWatu 19 kidogo ni post🤣🤣🤣