Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwenye maombi 12 niliyoandika pale kawe! Mmoja ni la kupunguza vita zako.

Nashukuru Mungu zote zimeisha
🤣🤣🤣🤣 Ila Chinno unazingua!!
Mi sina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu, JF kuna drama nyingi sana humu.!
Muhimu kutowatilia maanani, uki log in uwe na ukichaa flan ukiichukulia serious itakutesa..!!
Mi hainiumizi kabisaaa.!!
 
Back
Top Bottom