Picha tu hizo ,sema dogo wangu wa kwanza nilimpata nikiwa o levelWeeeh!! Mbona kwenye pic unaonekana bado mali safi mkuu π
Mhm!! Ulianza mapema mchezo mbaya π€£π€£Picha tu hizo ,sema dogo wangu wa kwanza nilimpata nikiwa o level
Leo nina huzuni nimefiwa na mzee mkubwa π₯²π₯²Mhm!! Ulianza mapema mchezo mbaya π€£π€£
Em selfika min leo tuko peke yetu hapa
Umeanza utetezi, sasa kukazia uchungu selfika πLeo nina huzuni nimefiwa na mzee mkubwa π₯²π₯²
Sitaenda ,nipo kwenye majonzi tu ,kwetu halisi kibosho umbwe.Umeanza utetezi, sasa kukazia uchungu selfika π
Pole kwahiyo msiba upo wapi? Kishumundu au huru?
Ahhaaa! Nilisahau kumbe upo Spain πSitaenda ,nipo kwenye majonzi tu ,kwetu halisi kibosho umbwe.
πππ sipo Spain bhna wala sijawahi kufika , najiliwaza tu hapa na bia ya motoAhhaaa! Nilisahau kumbe Spain π
Pole nitumie nauli ya flight nikuwakilishe basi π€£π€£
π€£π€£π€£ Uongooπππ sipo Spain bhna wala sijawahi kufika , najiliwaza tu hapa na bia ya moto
Ushapoteaπ€£π€£π€£ Uongoo
Min selfika basi acha kuringa ringa km demu π
Nimerudi fanya jambo min πUshapotea
Wanamaliza pesa tu haoπ πHivi mnaokunywaga flying fish mnalewa, mnalewaje?? Mimi hapa nakaribia kufikisha 15 sioni chochote aisee!! Hizi juice zenu mnaziweza wenyewe π€£π€£π€£
π€£π€£π€£ Yani hii juice hapana.!!Wanamaliza pesa tu haoπ π
Wewe unakunywa bia gan ndio ulewe?π€£π€£π€£ Yani hii juice hapana.!!
Eti wanalewa had wanatukana Mxieeeeww πΉ
Zappa πWewe unakunywa bia gan ndio ulewe?
Nikajua safari π€£π€£ mimi napenda safari na ginessZappa π
Mi situmii beer bana sio mwanachuo
Mipombe ya wasukuma hiyo ππNikajua safari π€£π€£ mimi napenda safari na giness
π€£π€£π€£ hapana safari ni nzuri sana , kumbe bibi wa moshiπππMipombe ya wasukuma hiyo ππ
Safari nilimix na mbege kwa bibi Moshi weeh ilikuwa balaa..
Bibi wa rafiki yangu π€£π€£π€£π€£π€£π€£ hapana safari ni nzuri sana , kumbe bibi wa moshiπππ
Hii ktu nitajaribu siku mojaBibi wa rafiki yangu π€£π€£π€£
Mimi kwetu ukinga tunakunywa ulanzi bana