min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Picha tu hizo ,sema dogo wangu wa kwanza nilimpata nikiwa o levelWeeeh!! Mbona kwenye pic unaonekana bado mali safi mkuu 😜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha tu hizo ,sema dogo wangu wa kwanza nilimpata nikiwa o levelWeeeh!! Mbona kwenye pic unaonekana bado mali safi mkuu 😜
Mhm!! Ulianza mapema mchezo mbaya 🤣🤣Picha tu hizo ,sema dogo wangu wa kwanza nilimpata nikiwa o level
Leo nina huzuni nimefiwa na mzee mkubwa 🥲🥲Mhm!! Ulianza mapema mchezo mbaya 🤣🤣
Em selfika min leo tuko peke yetu hapa
Umeanza utetezi, sasa kukazia uchungu selfika 😜Leo nina huzuni nimefiwa na mzee mkubwa 🥲🥲
Sitaenda ,nipo kwenye majonzi tu ,kwetu halisi kibosho umbwe.Umeanza utetezi, sasa kukazia uchungu selfika 😜
Pole kwahiyo msiba upo wapi? Kishumundu au huru?
Ahhaaa! Nilisahau kumbe upo Spain 😜Sitaenda ,nipo kwenye majonzi tu ,kwetu halisi kibosho umbwe.
😆😆😆 sipo Spain bhna wala sijawahi kufika , najiliwaza tu hapa na bia ya motoAhhaaa! Nilisahau kumbe Spain 😜
Pole nitumie nauli ya flight nikuwakilishe basi 🤣🤣
🤣🤣🤣 Uongoo😆😆😆 sipo Spain bhna wala sijawahi kufika , najiliwaza tu hapa na bia ya moto
Ushapotea🤣🤣🤣 Uongoo
Min selfika basi acha kuringa ringa km demu 😏
Nimerudi fanya jambo min 😀Ushapotea
Wanamaliza pesa tu hao😅😅Hivi mnaokunywaga flying fish mnalewa, mnalewaje?? Mimi hapa nakaribia kufikisha 15 sioni chochote aisee!! Hizi juice zenu mnaziweza wenyewe 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 Yani hii juice hapana.!!Wanamaliza pesa tu hao😅😅
Wewe unakunywa bia gan ndio ulewe?🤣🤣🤣 Yani hii juice hapana.!!
Eti wanalewa had wanatukana Mxieeeeww 😹
Zappa 😂Wewe unakunywa bia gan ndio ulewe?
Nikajua safari 🤣🤣 mimi napenda safari na ginessZappa 😂
Mi situmii beer bana sio mwanachuo
Mipombe ya wasukuma hiyo 😂😂Nikajua safari 🤣🤣 mimi napenda safari na giness
🤣🤣🤣 hapana safari ni nzuri sana , kumbe bibi wa moshi😛😛😛Mipombe ya wasukuma hiyo 😂😂
Safari nilimix na mbege kwa bibi Moshi weeh ilikuwa balaa..
Bibi wa rafiki yangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hapana safari ni nzuri sana , kumbe bibi wa moshi😛😛😛
Hii ktu nitajaribu siku mojaBibi wa rafiki yangu 🤣🤣🤣
Mimi kwetu ukinga tunakunywa ulanzi bana