Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Hamna wa kawaida tu shem. Nimeshatupia nyingi sana. Wa kusave watakuwa walishakutupia. Nilijua niko na Odo tu, kumbe zaidi naogopa ππππTupia aisee, sijawahi kukuona aisee Ila naskia ni pisi ya kwenda haswaa
Anakuchuza shauri yako ππOoh vizuri, maana odo wangu kila kitu utani. Nikajua anatania. Tutaleta shem
Mtaalamu fundi manyumbaππππ
Na civil engineer je?
Cantry una kazi ngapi?
πππ wa vijoraJana status niliona mzigo mpya wa kutosha nikataka kusema neno nikakaushaππ
Huwa anaongea ukweli. Shida yako utani mwingi. Mi najua kila kitu wee nichore tu Mkinga wewe. Wakati wenu huu, nitakuja unifundishe biashara Odo.Anakuchuza shauri yako ππ
Khaaaaa!! Unayaweza π€£π€£π€£Serious mje mniungishe aisee, gereji ipo tandale darajani upande wa kulia ukiwa unatokea magomeni kanisani, na upande wa kushoto ukiwa unatokea vatican
Tupia odo wangu mwenye mipesa yake Town πππHamna wa kawaida tu shem. Nimeshatupia nyingi sana. Wa kusave watakuwa walishakutupia. Nilijua niko na Odo tu, kumbe zaidi naogopa ππππ
Unavyowapanga sasa πππMtaalamu fundi manyumbaπ
Ujenzi ni deiwaka tu, mjini kila kitu unapaswa kufanya
Za shem wako, huwa ananihonga tu πππππ mimi ni jobless. Ndiyo nataka unifundishe biashara nianze. Niache huu ujobless π₯²Tupia odo wangu mwenye mipesa yake Town πππ
Cantry anakudanganya kweli tena ππHuwa anaongea ukweli. Shida yako utani mwingi. Mi najua kila kitu wee nichore tu Mkinga wewe. Wakati wenu huu, nitakuja unifundishe biashara Odo.
Serious, huyo ni mfanyabiashara kkoo. Sema kwenye kukufundisha atazinguaHuwa anaongea ukweli. Shida yako utani mwingi. Mi najua kila kitu wee nichore tu Mkinga wewe. Wakati wenu huu, nitakuja unifundishe biashara Odo.
Za kwako odo π€£π€£π€£Za shem wako, huwa ananihonga tu πππππ mimi ni jobless. Ndiyo nataka unifundishe biashara nianze. Niache huu ujobless π₯²
Mm kila kazi nafanyaπKhaaaaa!! Unayaweza π€£π€£π€£
Wee Mkinga kabila tu linakubeba. Ukute hapo unamalizia ghorofa la 3. Huku unatafuta nyumba Sinza 2B uivunje, ujenge lingine. Sikuwezi kabisa Odo ake. Mimi sina pesa, mpaka niombe home π€π€π€π€£π€£π€£π€£Cantry anakudanganya kweli tena ππ
Halafu sijui kwann hataki nipate hizo pesa jamani??
Anasikia raha nikimuomba pesa zake na bado hanipi Mxiuuuu πΉπΉπΉ
Weeh bana hizi sifa zako unazonipamba ndio zinafanya nashindwa kusaidiwa na matajiri ujue πππSerious, huyo ni mfanyabiashara kkoo. Sema kwenye kukufundisha atazingua
But angekua yupo loyal basi ingekua mteremko kwako. Kkoo kuna pesa Ila watu wa kushika wengine mikono ndio miyeyusho
Nilijua hutakubali, Ila sio powa unavyofanyaga maana wengi kweli unawazinguagaCantry anakudanganya kweli tena ππ
Halafu sijui kwann hataki nipate hizo pesa jamani??
Anasikia raha nikimuomba pesa zake na bado hanipi Mxiuuuu πΉπΉπΉ
πππ mfyuuu!!Mm kila kazi nafanyaπ
Kuna kipindi nikataka kujifanya afisa usalama, sema nikaamua kuacha huo mpango maana niliona siku si nyingi naweza kwenda kuvaa nguo za orangeπ
πππWee Mkinga kabila tu linakubeba. Ukute hapo unamalizia ghorofa la 3. Huku unatafuta nyumba Sinza 2B uivunje, ujenge lingine. Sikuwezi kabisa Odo ake. Mimi sina pesa, mpaka niombe home π€π€π€π€£π€£π€£π€£
Wewe shem huwa unasema kweli na nakuamini kabisa. Ila mwache aendelee kunizingua. Uzuri ukweli uko wazi hakiharibiki kitu. Wafanyabiashara wakubwa wachoyo, kukwambia A,B,C za biashara. Hawataki kutoa siri mtajirike wote.Serious, huyo ni mfanyabiashara kkoo. Sema kwenye kukufundisha atazingua
But angekua yupo loyal basi ingekua mteremko kwako. Kkoo kuna pesa Ila watu wa kushika wengine mikono ndio miyeyusho
Kwahiyo umekaza nisipewe mtaji? πππNilijua hutakubali, Ila sio powa unavyofanyaga maana wengi kweli unawazinguaga