Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huwa anaongea ukweli. Shida yako utani mwingi. Mi najua kila kitu wee nichore tu Mkinga wewe. Wakati wenu huu, nitakuja unifundishe biashara Odo.
Serious, huyo ni mfanyabiashara kkoo. Sema kwenye kukufundisha atazingua
But angekua yupo loyal basi ingekua mteremko kwako. Kkoo kuna pesa Ila watu wa kushika wengine mikono ndio miyeyusho
 
Cantry anakudanganya kweli tena 😂😂
Halafu sijui kwann hataki nipate hizo pesa jamani??
Anasikia raha nikimuomba pesa zake na bado hanipi Mxiuuuu 😹😹😹
Wee Mkinga kabila tu linakubeba. Ukute hapo unamalizia ghorofa la 3. Huku unatafuta nyumba Sinza 2B uivunje, ujenge lingine. Sikuwezi kabisa Odo ake. Mimi sina pesa, mpaka niombe home 🤭🤭🤭🤣🤣🤣🤣
 
Serious, huyo ni mfanyabiashara kkoo. Sema kwenye kukufundisha atazingua
But angekua yupo loyal basi ingekua mteremko kwako. Kkoo kuna pesa Ila watu wa kushika wengine mikono ndio miyeyusho
Weeh bana hizi sifa zako unazonipamba ndio zinafanya nashindwa kusaidiwa na matajiri ujue 😂😂😂
Em acha niwezeshwe
 
Serious, huyo ni mfanyabiashara kkoo. Sema kwenye kukufundisha atazingua
But angekua yupo loyal basi ingekua mteremko kwako. Kkoo kuna pesa Ila watu wa kushika wengine mikono ndio miyeyusho
Wewe shem huwa unasema kweli na nakuamini kabisa. Ila mwache aendelee kunizingua. Uzuri ukweli uko wazi hakiharibiki kitu. Wafanyabiashara wakubwa wachoyo, kukwambia A,B,C za biashara. Hawataki kutoa siri mtajirike wote.
 
Back
Top Bottom