Selfika na JF: Snap it. Show it

inawezekana mkuu.mimi wastani wa siku 3 ndevu zinakuwa zimeshaota.
Kichwani naweza kuwa bado hazijarefuka ila ndevu tayari ziko nyingi japo huwa sipendi kuzimaliza zote labda kama nataka kubadili style ya kunyoa ndevu.πŸ˜„
🀣🀣🀣 mimi toka nimeanza kuonyesha dalili ya kutoka kipara naona ndevu zinashamiri kama uyoga na nywele za kichwani zinazidi kupukutikaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…