min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
🤣🤣🤣 mimi toka nimeanza kuonyesha dalili ya kutoka kipara naona ndevu zinashamiri kama uyoga na nywele za kichwani zinazidi kupukutika😅😅😅inawezekana mkuu.mimi wastani wa siku 3 ndevu zinakuwa zimeshaota.
Kichwani naweza kuwa bado hazijarefuka ila ndevu tayari ziko nyingi japo huwa sipendi kuzimaliza zote labda kama nataka kubadili style ya kunyoa ndevu.😄