Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

๐Ÿ‘ฝ๐Ÿ‘ฝ๐Ÿ‘ฝ๐Ÿ‘ฝ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž Cc min -me ephen_
IMG_20240921_162721_727.jpg
 
Weee ๐Ÿคฃ.

Moja, ushawahi kuona simba dume asiye na Ndevu?

Mbili, zile za Osama hazikuwa na matunzo.

Yaani kabisa hizi zangu unazilinganisha na za Osama? Hebu cheki hiyo line-upโ€ฆ.

View attachment 3100014

Sidhani kabisa kama Osama alikuwa na hizi nyenzo za matunzo.

View attachment 3100015
View attachment 3100016

Tatu, sidhani kama Osama aliwahi kupata hata compliment moja kuhusu ndevu zake ๐Ÿคฃ.

Yours truly hapa napata compliments kila kona, ikiwemo hapa JF kupitia PM ๐Ÿ˜‰.

Put some respect on my beard ๐Ÿ˜€.
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜Nimeona Simba dume
Haya tupia pic yako zikiwa zinaonekana vizuri NN..

Ina cost kiasi gani kwa mwezi? ๐Ÿคฃ
Hapo sasa utupie na BUCCI km yule jamaa ake sis Pridah
 
Mh! Sawa mjukuu. Si unaona vile kidevu kimechafuka na mvi, kuna uheshimiwa hapo?

View attachment 3100051

Uwe na asubuhi njema, yenye baraka na mafanikio.

Acha nikapate upepo wa ufukweni asubuhi asubuhi mwili uchangamke.
Jamani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Shem nawe umemlipa Ngabu
Kapeace shost kumbe shem ana uchebe!! Hongera ๐Ÿ˜œ
 
Back
Top Bottom