Selfika na JF: Snap it. Show it

Unafikiri bado Kuna u hb umesalia? Usiome uzee ukufike.

Ila mapigo ya moyo yameenda mbio sana. Lamomy ana utovu wa ubinadamu.

Ila acha nijikakamue nitafute ndinga dharau zipungue. Niimalizie uzee Kwa heshima

View attachment 3104586
Shem lake hilo kiuti kimekaa mahala pake awwhh Kapeace shosti umejipata 🤣🤣🤣

Shem wewe mimi nizoee ndo nilivyo hata usinitilie maanani, nna stress za pesa 😹😹
Wewe kikubwa unahema gari tutakodi hata bajaji 😂
 
Shem km shem huna baya, 🤣🤣🤣
Chukua kapeace awe anakufanyia massage huku anakusaidia kutafuna kiinua mgongo..!!

Mi mpambe wenu niko pembeni nawamininia mvinyo huku nawachekesha.. 😜
Hiyo massage labda unifundishe mi najua mengineeee.........
 
Sana aisee
Nililinua 2nd year miaka 9 iliyopita nikiwa pale Chuo chetu Cha kata
Umeanzaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha majuzi kuna dogo anaenda chuo 1St yr, sasa yeye anatakaa MUHAS, tena MD, awamu ya kwanza kakosaa.

Nikamuambia omba KCMC na BUGANDO, utapata, anajibu yaan baadae useme ni Daktari hujapita MUHAS, aaah wee.

afu hapo ana 1 ya 5. Nkamuambia baadaa ya 5yrs utaelewa, wee bado Njukaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo massage labda unifundishe mi najua mengineeee.........
Ntakufundisha had kumsinga mpk password ya bank akupe… ila kwenye mgao sitaki “ohhh shogaangu shika laki” wakati una million 10 cash mkononi 🤣🤣🤣🤣

Hamchelewi kumwambia shem huyo shost yangu aliugua kichaa ninapoanza kudai kifuta jasho 😹😹😹
Tumewekee na shuntama unaonaje? 😂
 
Muhas itamtoa roho acha aendekeze ujinga wake
Kuna watu walisubiria muhas hadi wanazeeka na hawakupata
Chuo Cha kata walichokataa Nako wakakosa
Huku wenzao katani tushamaliza.

Huku mtaani Ngoma droo
Hakuna cha ulisoma wapi
Ufanisi wako ndio unaokubeba.
 
Shuntama hilo nalijua hafurukuti, ila hapo kwenye laki ndo kuna kipengele tena kizito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…