Selfika na JF: Snap it. Show it

Amani itoke wapi watu wanatekwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mahi Nkamu wangu ana kitu kimemkaba nataka nimsaidie akitoe.!!
Ujue kukaa na kitu moyoni sio vizuri unaweza kupata kiungulia 🀣🀣🀣
Ngoja nilale mie kabla kisukari hakijapandaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kumekucha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nkamu nilitaka kuaga naona unanivuta niendelee kukaa 😹

Nani anaforce na kuinamisha camera kwani??
Au coca?? Hebu mtaje kwanza
Mimi hapa nkamu
Si umeona avatar nimeforce kulaza cameraπŸ˜‚
Sena bahareee

Kaoge mweee
 
Odo una balaaa mamaahhh 😍😍😍
Nyie kumbe tunaishi na malaika duniani??
kikiboxer shem jishike hilo odo la moto watakuibia aloooh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Lakini Odo jamani Odo mweeh 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 kaone kwanza karembo haka. Nataka mwili kama wako, nitajipunguza mpakaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…