Selfika na JF: Snap it. Show it

Naomba nikuulize hivi ephen_ yupo wapi?? Au amebadili id?

Kapachino asije kujichanganya Kama kwa ini
Alikuja na fekero kajichekesha hapa, sijui km karudi upya mana mwenyewe sikuwepo bado sijakusanya data zangu 🤣🤣🤣

Ila ww mkorofi kwann uniulize hilo swali mimi??
Wewe si shosti yako 😂😂
Ila huyo ini alichowafanya hamtakuja msahau halafu yupo anawachora tyuu.!!
 
Hivi ini ndio nani jamani
Nilipitwaga😂😂
 
Yani lipstick ndo sijuagi kujipaka wala makeup, na nikijikakamua kupaka najionaje sijui ila wengine naona wanapendeza
Huyu dada anaiwezea sana aisee
Yaani ni mtaalam


Mimi bodyline yangu ya buku hatari sana najikandika hadi usoni
Urembo ni sifuri kabisa
Hata powder ya 500 noo
Yaani nipo mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…