Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Make up ukimkuta mpakaji kavurugwa, unatoka km tumbili mjane 😂😂
Kuna siku nililazimishwa kupaka ilikuwa naenda shughuli flani
Wakasema huchelewi bna fasta

Mungu wangu kuangalia kwenye kioo
Naona picha kama la nsyuka part 3
Wamepaka makeup za watu weupe grade 1
Wakati mi mweusi grade1

Kama naenda cheza nsyuka part4 hivi😂
Kataka nijikimbie
 
Hivi Aaliyyah hupati tags? Maana nimekutag leo na hauzijibu sasa hapo kwenye picha sitaki kuquote ili picha isije kubaki humu,

Tabasamu kwenye picha ni muhimu linaongeza urembo, na kuficha utu uzima inafanya sura iwe ya kitoto sana, ni mwendo wa kusmile tu
 
🤣🤣🤣Mm pia za rangi nilikuwa siwez kabisa
Huwa napenda sana kucheka ila muda wa picha mnuno 🤣🤣
Kuna mdogowangu akanambia ukitabasamu unapendeza sana nakumbuka alikuwa ananipigia picha aisee😀😀
Ilikuwa picha hii naitunzaga sana
Nikajiongeza na lipstick nyekundu sikunyingine ikawa ndio fav 😍
MashAlllah...
Skin tone, smile, lips 🔥🔥

Ngoja tubaki kusifu na kula kwa macho...
 
Tatizo stori za Coca zinahitaji kiwango cha juu sana Cha umbea na kuelewa
Mi natokaga holaa
Kakoka bhana kambea ka kimataifa

Kweli umbra kipaji
Hiyo siku ilikuwa wanamwaga ubuyu kuna uzi mmoja hivi, coca akatumiwa risiti akapost na mie tena nikadandia treni kwa mbele acha nichambe nikala ban coca anakuja kunipa pole pm naye akala ban tukabaki tunacheka😂😂😂

Tukarudi tena kivingine tukapeana signal ndio nikaanza kumuuliza kwani ini ni nani?? Naye anaongea kwa uoga, nikazama chimbo nikaishtukia id moja hivi nikaifatilia ikanipa full story yy ndiye ini og dah.!! Nilichoka 😹😹😹

Ila story yake inachekesha sana.. JF kuna viumbe wa hatari sana humu.!!
Itoshe kusema JF ni kichaka chenye wanyama wakali nkamu 🙌🙌😂😂
 
Hivi Aaliyyah hupati tags? Maana nimekutag leo na hauzijibu sasa hapo kwenye picha sitaki kuquote ili picha isije kubaki humu,

Tabasamu kwenye picha ni muhimu linaongeza urembo, na kuficha utu uzima inafanya sura iwe ya kitoto sana, ni mwendo wa kusmile tu
Sijaziona ila nipo hapa weka nitaona usiniqoute isije kubali
 
Kuna siku nililazimishwa kupaka ilikuwa naenda shughuli flani
Wakasema huchelewi bna fasta

Mungu wangu kuangalia kwenye kioo
Naona picha kama la nsyuka part 3
Wamepaka makeup za watu weupe grade 1
Wakati mi mweusi grade1

Kama naenda cheza nsyuka part4 hivi😂
Kataka nijikimbie
Imenikuta last week nilikuwa km kizuka awee sitaki Tena🤣🤣🤣
 
Imenikuta last week nilikuwa km kizuka awee sitaki Tena🤣🤣🤣
Yaani huko usoni vumbi siyo vumbi
Nikijiangalia shingo sasa na uso
Wapuuzi wale waliniambia nisinzie ili wanitishe na kinyago changu mwenyewe
Msikutaka mjadala nikaenda kunawa

Oh subiri tumalizie utaona
We hujui tu
Nikawaambia acheni ujinga
Ni kweli sijui mambo ya urembo ila hamuwez nigeuza msukule nawaona
 
Back
Top Bottom