Kuna birthday moja nilialikwa, birthday girl aliposimama, rafiki yangu akanambia mbona birthday girl kafanana na Michael Jackson?😂
Aisee kumtizama kwa makini nilicheka sana, amefanana na yule MJ kwenye Thriller...
Make up hizo, ukiwa mzuri mbona huwa sioni haja ya make up?
Au ni kukariri?
Huwa naona kazi ya make up ni kutoa tu zile black dots, makovu au chunusi sehemu baadhi ya uso kwa ajili ya photoshoot...
Na hapo mpakaji make up awe hodari kuchanganya hizo make up ziendane na skin tone yako... Mtu mweusi unapakwa make up ya brown😂