Selfika na JF: Snap it. Show it

Si atakuwa kama Ras sasa muimba reggae
Pambano litakuwa gumu
Ila navyomjua atakuja kivingine
Hapoi haboi yaani
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nkamu unachonifanyia leo haki kesho ntashinda nasinzia.!
Shangazi Hana mbambamba mi ananikoshaga sana.!!
Tujiandae marefa mchuano utakuwa moto sana.!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nkamu unachonifanyia leo haki kesho ntashinda nasinzia.!
Shangazi Hana mbambamba mi ananikoshaga sana.!!
Tujiandae marefa mchuano utakuwa moto sana.!!
Ila kuja lazima aje tu
Ila sijui kama atashinda
Tumuombee kwa mama maria yu naye

Bantu na kapeace wakifurumua bomu jingine inakwenda kuwa balaaπŸ”₯πŸ”₯
 
Huyu dada anaiwezea sana aisee
Yaani ni mtaalam

Mimi bodyline yangu ya buku hatari sana najikandika hadi usoni
Urembo ni sifuri kabisa
Hata powder ya 500 noo
Yaani nipo mbali sana
Siku hizi najitahidi kapoda napaka paka ila ndo joto la dar sasa aiii likinikera nanawa, nilipaka makeup kwenye harusi flani kiukweli sikujipenda nilivyotokea km nataka kulia 🀣🀣🀣sitarudia
 
Hivi ini ndio nani jamani
NilipitwagaπŸ˜‚πŸ˜‚
Mi mwenyewe nilikutia story coca anasimulia nikachangia nikala ban πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nikaingia chimbo mpk nikamjua na kanipa full story nilicheka sana.!!

Alikuwa anawapa simu wanawake anaongea na wadau wa JF kisha wanatuma miamala 😹😹
Em ninyamaze ntasutwa mie
 
Siku hizi najitahidi kapoda napaka paka ila ndo joto la dar sasa aiii likinikera nanawa, nilipaka makeup kwenye harusi flani kiukweli sikujipenda nilivyotokea km nataka kulia 🀣🀣🀣sitarudia
Mamaangu akipak wanja ukimuangalia usoni anaufuta 🀣
Mm lipstick hodar wanja ndo unanishinda
 
Siku hizi najitahidi kapoda napaka paka ila ndo joto la dar sasa aiii likinikera nanawa, nilipaka makeup kwenye harusi flani kiukweli sikujipenda nilivyotokea km nataka kulia 🀣🀣🀣sitarudia
Hebu tuone ulivyotokea
Yawezekana wewe hujui kujionaπŸ˜‚

Hapo tu huna makeup
Umetetemesha hadi server za jf
Za makeup zinaenda kubomoka kabisa server za MeloπŸ”₯
 
Tatizo stori za Coca zinahitaji kiwango cha juu sana Cha umbea na kuelewa
Mi natokaga holaa
Kakoka bhana kambea ka kimataifa

Kweli umbra kipaji
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚yani wewe ulitakiwa upewe mjulubeng kule downtown kwahiyo wifi yako aifute chap ila wengine aahhh walahi kesho utafute pa kujificha
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ningeupata mngekoma ningewapanga km miongozo halafu siwahongi ni free P tyuu.!!! Humu tyuu.!!
Mi kazi yangu kuwarusha mmahh pwaah pwaah 😹😹

Nyie wote nawalinda mali za watu πŸ˜‚
 
Hebu tuone ulivyotokea
Yawezekana wewe hujui kujionaπŸ˜‚

Hapo tu huna makeup
Umetetemesha hadi server za jf
Za makeup zinaenda kubomoka kabisa server za MeloπŸ”₯
Makeup hainikai hata picha sipigagi niamini Saint, nachukiza labda nilipakwa vibaya ila nilitoa laki kwa ajili ya makeup tu aah kuna vitu sio vyangu nakubali vinipite tu
 
Ila kuja lazima aje tu
Ila sijui kama atashinda
Tumuombee kwa mama maria yu naye

Bantu na kapeace wakifurumua bomu jingine inakwenda kuwa balaaπŸ”₯πŸ”₯
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Humu tyuu.!!
Nkamu tulaleni nyie usiku mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…