Selfika na JF: Snap it. Show it

Tatizo sichelewi kuimeza, ujue kuna vitu vina mwenyewe, mi kwenye urembo hela yangu inaishiaga kwenye nywele bhana sio wigs ila misuko napenda sana
Mi mwenyewe siwezagi lazima nilambe
Hata mafuta lazima nilambe.


Hebu tuone picha za misuko😍
Tena kichwa chako kimekaa vzr kusuka
Mafundi wa nywele,kichwa Cha kusuka tunakiona tu πŸ”₯πŸ”₯
 
Zako hata usipozipaka mkuu ni nene zinafaa sana
Asante ila nakula ndo tatizo, enzi za skuli nikiwa fom 2 c wale mashindikanaa walikuwa wanaleta πŸ’„ wananipaka halafu nalaza lips kwenye barua za wapenzi wao nilikuwa km zoba eeh basi nawashangaa kweli, hadi wa fom foo walikuwa wanakuja niwasaidie,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…