and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Ni katika upande mmoja tu wa mizagamuo.Wewe wasema wenzio huku mtaani wanarudishwa utotoni na kina Gen z
πππππWe mzee inni ndo nani Bantu Lady mzee wa hall v kashayatimba huku
Umenena vyema endelea kutumotivate π«Ni katika upande mmoja tu wa mizagamuo.
Kwani ilikuaje Diamond akazaa na Zari, ambae ni single mother mwenye watoto?
Kwani Diamond hakuweza kutafuta hao Gen Z?
Harmonize ilikuaje akadata na single mother mshangazi hadi anamtungia nyimbo na kuhonga magari? Unafikiri alikosa hao Gen Z...
Kikubwa jitunze na ujikubali...
Unaweza kuwa na 30's na mtu akakuelewa mkafanya maisha .. achana na story za jf zisizo na uhalisia , kwenye ground mambo ni tofauti, jitunze na ujiamini. Kwenye suala la kujitunza ndipo kipengele...
Duh! Mbona nimegeuka kuwa motivesheno spika tena...?
Mtusaidie picha zifutike. Kila aliyetuquote afute comment tunaomba. Mimi nitawarahisishia kuwatag. Mfute picha zisibakiπ₯Ί Tukubaliane, wengine tukiweka picha mtu asiquote ile ya picha, iwe rahisi kufutika ni ombi π₯°
Sio Kila mtu anapenda hao Gen Z.Ha ha ha tatizo tunataka twende sawa na hawa GEN z
πSio Kila mtu anapenda hao Gen Z.
Ahsante sana kwa ushauri huu mzuri Mkuu The Monk Nitaufanyia kazi. Ni kweli ukiweka isipokaa muda mrefu inafutika. Niliweka moja nikawahi kufuta, hata walioquote ikafutika kwenye quote zao. Shida naona ikikaa dakika nyingi, itafutika kwako, kwenye quote picha inakutolea macho π€£π€£π€£π€£π€£π€£.Kama sikosei, ukifuta post aliye quote nae akifungua haifunguki. Kwa ushauri wangu, kama unawasiwasi na picha unayoituma, ni vyema usiiweke kabisa. Na hasa hasa kama unaroho nyepesi. Hapa ndani tuna watu wa Kila aina kama ambavyo tunaishi nao mtaani, Kuna waungwana, wastaaeabu, wagomvi, wababe, wasioeleweka, wenye stress na Kila aina unayoifaham. Hatujawahi Ina mtu anakujibu jeuri au anakua mkali kama kifaru na unastaajabu kipi kimempata? Ukiwazingatia, unapunguza siku za kuishi.
Nnaongea maneno mengi kama Lamomy (ila huyu nae haishi kufurahisha, kiuhalisia anaweza kuwa sio muongeaji sana ila machachari yake Yana PhD).
Nilichotaka kusisitiza, post picha ambayo chochote kikitokea, haitakusumbua. Chochote kinachoenda mtandaoni, kinakupa nje ya udhibiti wako. Hapa unawasihi walio quote wafute, wengine tayari wamesha Danrod wanazo. Kikubwa watu wawe wastaarabu tu.
Nyakati huja na kuondoka, acheni tuzeeke, na nashukuru sikuwahi date schoolmate si shule wala chuo, mi ni mpenda wanaume wakubwa wakubwa ndo maanaInaonekana shule nzima ulikuwa unawatikisa kweli kweli.
Ex boyfriend sijui alikua anajikuta nani
Mmeamkaje vivuruge wangu wa jana!! Mkawe na siku nzuri mpate maokoto mje mnipe mgonjwaππ
Nkamu group gani hiloMpaka leo hawajui na hilo group nkamu alikuwepo πππ
Em nikalale nisije kusutwa miyeee
Sindikizia na kapichaπ₯Mmeamkaje vivuruge wangu wa jana!! Mkawe na siku nzuri mpate maokoto mje mnipe mgonjwaππ
Nashukuru hiki ki Itel batan nii cha muda ila kiko gadoo but foro zako na za Aliyah zimegoma kabisa kusevika auto !Hahahaha π