Selfika na JF: Snap it. Show it

Hee kumbe! Uwiiii!

Asante sana kwa mwongozo! Ngoja nimuwahishe hospitali nitafute na mitishamba make nishakua nguri wa mibazi!
Mibazi haitasaidia kwa hapo vilipo, nenda tu wakupe za kizungu, kuna dawa naijua ingewwza kumsaidia ila km tu ingekuwa ndo ile vimeanza viwili vitatu vinne,
 
Jana nilijazwa hivihivi, tena jua lote hili aaaiiiih sitaki nitaacha kuja kuchungulia humu
Weee usiache kuja banaaa ukija panachangamka sana!

Ndo kulivo hukuu ni kupazoea tu ! Weee mzuri mzuri tu nimeona leo asubuhi hongera sanaaaaa!

Uko motroooooo πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯😍😍😍😍😍!

Lipss za kunyonywa na anaejua denda hadi ukate motro kwa utamu hizoooo !πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Mibazi haitasaidia kwa hapo vilipo, nenda tu wakupe za kizungu, kuna dawa naijua ingewwza kumsaidia ila km tu ingekuwa ndo ile vimeanza viwili vitatu vinne,
Kabisa mamy Naenda hospitali ila si unajua wakaire na wenyeji wakimwona tu wanantajia mbirizi😊!
 
Hivyo ndio vilivyomchanganya smart eh!!

Kwahiyo mpaka asbh ilikuwepo mbona ilifutika usiku!! Itabidi nitafute maujanja ya kufuta picha km wadau walivyoshauri,
 
Hivyo ndio vilivyomchanganya smart eh!!

Kwahiyo mpaka asbh ilikuwepo mbona ilifutika usiku!! Itabidi nitafute maujanja ya kufuta picha km wadau walivyoshauri,
Starring kama Starring yule kichaa mwenzangu akili zetu wote mbili kasoroπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜!

Nimeonaaa !Kakimeo kangu huwa kanasevu automatic eti na una guu moja la bia matratraaa sanaaa ! Uko hoooottt πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…