Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hee kumbe! Uwiiii!

Asante sana kwa mwongozo! Ngoja nimuwahishe hospitali nitafute na mitishamba make nishakua nguri wa mibazi!
Mibazi haitasaidia kwa hapo vilipo, nenda tu wakupe za kizungu, kuna dawa naijua ingewwza kumsaidia ila km tu ingekuwa ndo ile vimeanza viwili vitatu vinne,
 
Jana nilijazwa hivihivi, tena jua lote hili aaaiiiih sitaki nitaacha kuja kuchungulia humu
Weee usiache kuja banaaa ukija panachangamka sana!

Ndo kulivo hukuu ni kupazoea tu ! Weee mzuri mzuri tu nimeona leo asubuhi hongera sanaaaaa!

Uko motroooooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😍😍😍😍😍!

Lipss za kunyonywa na anaejua denda hadi ukate motro kwa utamu hizoooo !🔥🔥🔥
 
Weee usiache kuja banaaa ukija panachangamka sana!

Ndo kulivo hukuu ni kupazoea tu ! Weee mzuri mzuri tu nimeona leo asubuhi hongera sanaaaaa!

Uko motroooooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😍😍😍😍😍!

Lipss za kunyonywa na anaejua denda hadi ukate motro kwa utamu zileeee !🔥🔥🔥
Hivyo ndio vilivyomchanganya smart eh!!

Kwahiyo mpaka asbh ilikuwepo mbona ilifutika usiku!! Itabidi nitafute maujanja ya kufuta picha km wadau walivyoshauri,
 
Hivyo ndio vilivyomchanganya smart eh!!

Kwahiyo mpaka asbh ilikuwepo mbona ilifutika usiku!! Itabidi nitafute maujanja ya kufuta picha km wadau walivyoshauri,
Starring kama Starring yule kichaa mwenzangu akili zetu wote mbili kasoro😂😂😁😁😁😁😁😁😁!

Nimeonaaa !Kakimeo kangu huwa kanasevu automatic eti na una guu moja la bia matratraaa sanaaa ! Uko hoooottt 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom