Selfika na JF: Snap it. Show it

Basi nitarudi ila ndo usiku mneneπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… wenye simu umbea km yako mtakuwa mnakutana nazo asubuhi
 
Unataka pension yako uivute mapema tu.

Niliposemea Mimi advance huko mbeya mtoto wa kike kama wewe ili uwe safe lazima uwe na mtu Yani unatongozwa kibabe utake ukubali lazima uchukuliwe.

Shule za serikali za zamani haha zilikua zinaendeshwa kitemi sana (Mimi mwenyewe niliokotaga dodo pitia huu mpango)
 
Nyinyi mnapenda vijana wenye six park Sisi wazee wafupi vifutu na vitambi picha zetu tukipiga hazitoki vzr
Weee mie na vijana wapi na wapi????


Weee six pack hailipi bills akhaaa! !!

Wazee ndo wazuriii wanajielewa afu wanajua kutunzaaaaa yaniii waelewa mnooooo!

Unaenda nae aste asteeee asije fia kwenye kinenaaa!

Ukutane na mzee wa kileo sasa utafurahi naroho yakoooo😁😁😁🀭!

Sema nishaachana na hekaheka za ujana nimekituliza sasa!
 
Muwe makini
Wazee wengine ni dizaini ya regional commissioner wa simiyu mnywani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…