Abeeeh Engineer,Engineer
CongratsNoope!!
Badoo hawajatupiaa, na venyee tunatakiwa tulale, tuamke mapema,Hawajatupia bado?.
[emoji120][emoji120]Congrats
My Mdogo naomba nikija huko daslam unipikie aiseee
Ishi unavyoweza ukifuatilia comment za watu na kuzitilia manani ni mzigo mkubwa kwa Hilo bichwa lako mkuu.Me mwenyewe hapa sipo serious
Basi mpk waje wabembelezwe na vivuruge wao kina Saint Anne na AaliyyahBadoo hawajatupiaa, na venyee tunatakiwa tulale, tuamke mapema,
Kesho asubuhi site kupambaniaa tonge. Daaah.
Tupo pamoja kiongozi!Ishi unavyoweza ukifuatilia comment za watu na kuzitilia manani ni mzigo mkubwa kwa Hilo bichwa lako mkuu.
Hivi umepikia kwenye kuni mkaa au gas au jiko la umemeJamani niko kwny Dayati sasa nimepika wali maharage hapa unanukia hatari...yani moyo unaniumaaa mnoooo..yani sijui nifanyaje uwiiii
Ulichokunywa Jioni hii huendi mbinguni mnywanii πIshi unavyoweza ukifuatilia comment za watu na kuzitilia manani ni mzigo mkubwa kwa Hilo bichwa lako mkuu.
π₯π₯π₯π₯π₯Kalpana na cocastic haya mkalale, usiku sn atatupia Kapeace Muamke.π€£π€£π€£View attachment 3105672
Huo mguu tunataka kufanana..π₯°π₯°π₯° hongera dada mrembo....ngoja wakulungwa wachukue waifanyie utafiti...Kalpana na cocastic haya mkalale, usiku sn atatupia Kapeace Muamke.π€£π€£π€£View attachment 3105672
Safi sana MkuuTupo pamoja kiongozi!
Kwenye gas yani nimeshasahau kupikia nje usiku...ππila wali wa kwny kuni unanukiaga ukiwa kijijini...na wa kwny mkaa unachambuka vzr mnoHivi umepikia kwenye kuni mkaa au gas au jiko la umeme
Mbona utafiti π π π Aawww nimefurahi tunafanana miguu na mrembo kama wewe Kalpana ππππHuo mguu tunataka kufanana..π₯°π₯°π₯° hongera dada mrembo....ngoja wakulungwa wachukue waifanyie utafiti...
Kuna watu wamegoma dada?Basi mpk waje wabembelezwe na vivuruge wao kina Saint Anne na Aaliyyah
Tupo pamoja mwenyekiti wetuSafi sana Mkuu
Kazi iendelee