Selfika na JF: Snap it. Show it

Haha
We just have funny
Mimi hua sijui kukasirika mnywani.

Sana sana nikiona kuna dalili ya uvunjifu wa Amani na log out
Safi sana hioo Utaishi maisha marefu sana mnywanii!

Mimi silog out wala nenee huwa nakomaa na jeshi la Mtu mmoko hadi mwishooooπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚!

Na siombi silaha wala kuomba msaada wala kampani πŸ•ΊπŸ’ͺπŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚!
 
No nimewaambia waamke usiku sana. Huwezi amini, nilikuwa nafanya majaribio, nimeacha muda mrefu, imefutika kote. Yaani ni mwendo wa kuselfika tu 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Itabidi niipitishie kwako, ila leo nimechoka jamani na somo la kufuta halijanikaa bado ila sina haraka nitajua akili imechoka leo mapema naangusha
 
Chicken pox poleni watakaa vizuri kama ana mdogo wake inabidi wajitenge ili wasiambukizane
 
We ni mtata sana mnywani
Uko kama mpalestina hata upigwe missile za namna gani

Zako ni takbirrr unasonga mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…