Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee dada madesaa si nilishaacha tokaa mwaka jana August.
Sahivi naburuzwa na Wachinaa huku site, nomaaaaaa
Kupambania tonge kugumuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒWasijichanganye watakuta kokoto zimerudishwa zilikotoka ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Wee dada madesaa si nilishaacha tokaa mwaka jana August.
Sahivi naburuzwa na Wachinaa huku site, nomaaaaaa
Kupambania tonge kugumuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si ndio field huko
Yaani ni moto juu ya moto
Kuna dogo mmoja analialia anasema field hawapumziki.

Ila bora mchina kakupunguza Kasi jf maana khaah
 
Kalpana Weee nimeona yaani ni mapacha kabisa. Nikashtuka nikajua yangu haijafutika tena ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… uko vizuri sana shape, miguu, sura yaani warembo wa JF ni ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Yaani mulule๐Ÿ”ฅ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Au mapacha nyie!?๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Nilijua tu wote wakali wazuri๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Ila mzee wa hall V, mbonaa case hii?
Muulize huyu min -me yeye ndo anaweza kukupa jibu sahihi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui umewazaa nn, Lol
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Back
Top Bottom